mikazó;8775295 said:akili MBOVU HIYO INATOKANA NA BANGE ZAKO UNAZOVUTA HUKO VICHAKANI,USILETE MAMBO YAKO YA BANGE HAPA,UKISHAKUNYWA HZO BANGE ZAKO UNAWAZA KULETA CHUKI ZA KIDINI HAPA,PELEKA BANGE ZAKO HUKO KWA WAVUTA BANGE WENZAKO
akina hamis, juma, abubakar na abduli, wako wapi?
ina maana wao hawana shule ama hawana wanafunzi wenye akili?
by the way, imam mkuu, mr simba, alisema wasomeshe watoto wao sijui kama walielewa?
Hao kina hamisi ndio hao hao kuanzia Rais wako. AGP. makamo wa rais! Na mawaziri wengine kedekede!
Au ulitaka mpaka mwanao aolewe na juma ndio uwaone!?
hahahhahahhaha,,,,,,,,Mkuu hawa jamaa shule yao ipo kwa Makochali,,,,wengine ipo Leaders Na wale wa Kwa MACHENI nahic matokeo yao yanatoka Jumatatu.
ahaaa!! ahsante...! mkuu nimewamiss sana bana we na Baba V!
nakumbuka the last day when baba v was burned because of you.. hahahaaa!!
nb! mkuu dont take that as serious,.... this may be as just the part of conversation to make things go!
cheers!
Mkuu maneno yako yamenigusa pabaya!
Na mimi vilevile napenda kujadili as long as your part of the Conversation Does not show disrespect to my FAITH!
Respect!
Na yule Baba V ni mzee wa rusha roho!
.
We dont play the game!
hahahaaa!!! mkuu dont mind about those.. they are just the part of the results..
actually, toka siku ile mpigane na Baba V, siwaoni tena mkinywa pamoja! kwani tatizo haswa ni nini?
Tatizo mimi najaribu kuelimisha Ummah!
Na yeye mchekeshaji!
Two different world's but the same planet!
hahahaaa!! haya njoo cit chat tukuoze sasa uzae na watoto wawe na akili kama zako..
Nashkuru kwa mualiko lkn huko sio kwangu!
Mi hupenda kuwa ktk jukwaa ambalo unafikiri kabla ya kuandika. Sio unaandika kwanza halafu unafikiri!
Thats why baba v alikula Ban! Alisahau kufikiri kabla ya kuandika!
Na alipokumbuka kufikiri! It was too late.!
haya mkuu.. lakini unayaonaje haya matokeo kiujumla?
unadhani kuongezwa points mpaka 49 ni suluhisho la kuongeza performance kwa wanafunzi kiujumla?
just go n appeal there is a chance
Akafu wakija kukutwa wamejaa kwenye maifisi mbali mbali wanaambiwa ni ukanda na ukabila.
Sijaridhika na matokeo,nilitegemea top 10 yote...
Jitihada zinahitajika kufanikisha hili
Mkuu wahimize wanao wasome kwa bidii na uwekeze kwenye elimu yao vinginevyo utabaki na mfumo kristo milele maana wkt mnahangaika na mfumo wenzenu wanazidi kuwekeza,nilitegemea mwaka huu walao pawepo na tofauti lkn naona bado mnalalama tu.
Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
Proud to worship white man's idol!
Teh teh teh teh!
Hatujifunzi kwa makafiri sisi!!!
Kuongeza point peke yake bila proper foundation ni kuwaonea wanafunzi! Na kuwakatisha tamaa hata wale wenye vipaji!
Kabla ya kuongeza chochote kinachotakiwa ni kuwapa wanafunzi mafunzo ya ziada!, kuboresha mafunzo kwa hao waalimu ili wapatikane waalimu wenye viwango vya juu vya ufundishaji! Na mishahara yao pia iboreshwe ili kuwapa nguvu zaidi ktk kazi zao!
Kuwaongezea wanafunzi muda zaidi wa kujisomea na kuboresha upatikanaji wa vifaa vya elimu kwa gharama nafuu.
Na mwisho kuweza kuwasaidi gharama za upatikanaji wa hivyo vifaa vya elimu wale wanafunzi wenye uwezo mdogo kimaisha!
Si kukurupuka tu na kuongeza points!
Na hii ni kawaida ya serikali yetu kutoa maamuzi kama haya!
Manake hao watunga sheria wengi wao ni Wabadhirifu wa mali ya ummah na kitu kinaitwa dhiki au shida ya maisha wao wanaona kwenye Tv na magazeti tu!