Matokeo ya Kidato cha nne: TUNALO LA KUJIFUNZA ZAIDI KWA KANISA KATORIKI?

Matokeo ya Kidato cha nne: TUNALO LA KUJIFUNZA ZAIDI KWA KANISA KATORIKI?

Status
Not open for further replies.
Joined
Nov 15, 2012
Posts
38
Reaction score
70
Matokeo ya mtihani wa kidato cha nne wa mwaka 2013 yaweza kutumika kama uthibitisho mwingine wa nguvu ya kanisa katoriki nchini Tanzania. Hizi ndizo shule 10 bora:- 1. St.Francis Girls (Mbeya), 2. Marian Boys (Pwani), 3. Feza Girls (Dar-es-salaam), 4. Precious Blood (Arusha), 5. Canossa (Dar-es-salaam), 6. Marian Girls (Pwani), 7. Anwarite Girls (Kilimanjaro), 8. Abbey (Mtwara), 9. Rosmini (Tanga) na 10. DonBosco Seminary (Iringa). Shule nyingi zinamilikiwa na kanisa katoriki. Hapa naona uimara zaidi wa kanisa katoriki.

Hawa ndio wanafunzi wanafunzi 10 bora.

1. Robina S Nicholaus (Marian Girls - Pwani), 2. Magreth Kakoko (St. Francis Girls - Mbeya), 3. Joyceline Leonard Marealle (Canossa - Dar-es-salaam), 4. Sarafina W. Mariki (Marian Girls - Pwani), 5. Abby T Sembuche (Marian Girls - Pwani), 6. Sunday Mrutu (Anne Marie - Dar-es-salaam)), 7. Nelson Rugola Anthony (Kaizirege - Kagera), 8. Emmanuel Mihuba Gregory (Kaizirege - Kagera), 9. Janeth Urassa (Marian Girls - Pwani) na 10. Angel Ngulumbi (St. Francis Girls - Mbeya).

Wanafunzi wengi ni wakristo. Hapa naona naona wakristo wakiendelea kutawala kielimu.
 
Baada ya ndalichako kukaa pembeni tunaangalia lawama abebe nani
 
Tatizo lipo,wanatuaminisha mungu wa katoliki ana akili nyingi,lakini sasa mbona wadanganyika mafukara na ombaomba.
 
what is your motive behind with this thread?
may be I am missing something, somewhere.

Matokeo ya mtihani wa kidato cha nne wa mwaka 2013 yaweza kutumika kama uthibitisho mwingine wa nguvu ya kanisa katoriki nchini Tanzania. Hizi ndizo shule 10 bora:- 1. St.Francis Girls (Mbeya), 2. Marian Boys (Pwani), 3. Feza Girls (Dar-es-salaam), 4. Precious Blood (Arusha), 5. Canossa (Dar-es-salaam), 6. Marian Girls (Pwani), 7. Anwarite Girls (Kilimanjaro), 8. Abbey (Mtwara), 9. Rosmini (Tanga) na 10. DonBosco Seminary (Iringa). Shule nyingi zinamilikiwa na kanisa katoriki. Hapa naona uimara zaidi wa kanisa katoriki.

Hawa ndio wanafunzi wanafunzi 10 bora.

1. Robina S Nicholaus (Marian Girls - Pwani), 2. Magreth Kakoko (St. Francis Girls - Mbeya), 3. Joyceline Leonard Marealle (Canossa - Dar-es-salaam), 4. Sarafina W. Mariki (Marian Girls - Pwani), 5. Abby T Sembuche (Marian Girls - Pwani), 6. Sunday Mrutu (Anne Marie - Dar-es-salaam)), 7. Nelson Rugola Anthony (Kaizirege - Kagera), 8. Emmanuel Mihuba Gregory (Kaizirege - Kagera), 9. Janeth Urassa (Marian Girls - Pwani) na 10. Angel Ngulumbi (St. Francis Girls - Mbeya). Wanafunzi wengi ni wakristo. Hapa naona naona wakristo wakiendelea kutawala kielimu.
 
kuwa na wakristo wengi katika elimu n.k ni mfumo tangu kipindi cha ukoloni. watu wa dini zingine na hasa waislam ilikuwa shida kupata elimu. na hata hao waliopata ilikuwa ni kwa mizengwe, mfano mzuri tu ni Rais Kikwete ambaye yupo madarakani sasa hivi. ilibidi abadilishe jina na kuitwa SAMWEL LUHANGA ili shule za kikristo zilizokuwa zikiendeshwa kwa kodi za wananchi wote ziweze kumkubali. wapo wengi, hata Marehemu Prof. Kighoma Malima alipitia huko.
wakati akijiunga na chuo alikuwa anajulikana kama Kighoma Malima lakini alipoambiwa aandike majina 3 akaandika Ali mwaka huo alinyimwa nafasi. akaendelea kupambana mwaka uliofuata ndo wakamchuka tena kwa mbinde.

kwa kifupi ninachotaka kukuambia tu ni kuwa huu sio muda wakujisifu kwa garama za wengine, bali ni muda muafaka kwa waTanzania kuungana na kutokomeza moja ya matatizo 3 makuu kama yalivyoainishwa na mmoja wa waasisi wa Taifa hili Hayati Mwl. Nyerere.
TANZANIA NIYETU SOTE, TUUNGANE TUTOKOMEZE UJINGA KWA MAENDELEO YETU.
 
[FONT="]Matokeo ya mtihani wa kidato cha nne wa mwaka 2013 yaweza kutumika kama uthibitisho mwingine wa nguvu ya kanisa katoriki nchini Tanzania. [/FONT] [FONT="]Hizi ndizo shule 10 bora:- 1. St.Francis Girls (Mbeya), 2. Marian Boys (Pwani), 3. Feza Girls (Dar-es-salaam), 4. Precious Blood (Arusha), 5. Canossa (Dar-es-salaam), 6. Marian Girls (Pwani), 7. Anwarite Girls (Kilimanjaro), 8. Abbey (Mtwara), 9. Rosmini (Tanga) na 10. DonBosco Seminary (Iringa). Shule nyingi zinamilikiwa na kanisa katoriki. Hapa naona uimara zaidi wa kanisa katoriki. Hawa ndio wanafunzi wanafunzi 10 bora. [/FONT] [FONT="] 1. Robina S Nicholaus (Marian Girls - Pwani), 2. Magreth Kakoko (St. Francis Girls - Mbeya), 3. Joyceline Leonard Marealle (Canossa - Dar-es-salaam), 4. Sarafina W. Mariki (Marian Girls - Pwani), 5. Abby T Sembuche (Marian Girls - Pwani), 6. Sunday Mrutu (Anne Marie - Dar-es-salaam)), 7. Nelson Rugola Anthony (Kaizirege - Kagera), 8. Emmanuel Mihuba
bangi si nzuri jaman,usitumie bangi zako wakat unawaza ki2 cha maana,be a great thinker
 
Nakubaliana na mtoa mada kuna haja ya shule zingine kujifunza kutoka kwa waendeshaji wa shule zinazofaulisha...
Kwa kuanza,kwa wanaomjua Father Bayo wa Marian girls na Boys wanajua jinsi gani alivyo,he is the main reason behind ufaulu,anajua nini maana ya SCHOOL MANAGEMENT...kwa shule zinazofelisha KAMUONENI AWAPE SOMO ...licha ya kuchukua bright students ana mengi sana anafanya
 
Naomba kueleweshwa jamani; hivi huwa majina ya watainiwa yanapelekwa NECTA au namba za mitihani?

namba wanatoa baraza la mitihani, majibu wanatoa wao na kila mwanafunzi taarifa zake zipo baraza la mitihani, watashindwaje kuchakachua watakavyo? mfumo huu haukubaliki hata kidogo, hii ni dhulma kubwa wanayofanyiwa muslims, ila naamin kila jambo lina mwisho.
 
Wakristo ni asilimia ngapi kati ya waajiriwa wote
NECTA?

Swali hilo bado linakujia kichwani mpaka zama hizi? Mngeacha haya;
ImageUploadedByJamiiForums1393068415.596585.jpg
Na mkafanya hivi kwa watoto wenu.
ImageUploadedByJamiiForums1393068703.827807.jpg

Msingekuwa na haja ya kuilalamikia NECTA isiyo na kosa lolote kwa watoto wenu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom