Matokeo ya kidato cha nne yamegoma kutoka?

Matokeo ya kidato cha nne yamegoma kutoka?

ze jj

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2012
Posts
497
Reaction score
592
Miaka mitatu hii matokeo yamekuwa yakitoka mwanzoni mwa January. Kunaa nini kimewasibu NECTA mwaka huu.

Nini kinaendelea huko NECTA?
 
Una haraka Gani?!!Shule wanaripoti July hukooo ..washayatoa ya std 7,Std 4 na form yachelewe tu hayo ya form four

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Miaka mitatu hii matokeo yamekuwa yakitoka mwanzoni mwa January. Kunaa nini kimewasibu NECTA mwaka huu.

Nini kinaendelea huko NECTA?
Bila shaka matokeo yatakuwa mabaya; sasa wako bize wanachakachua ili yakae vizuri. Tumeshuhudia jinsi shule za Kata kama vile Mbagara na Mburahati walivyovurunda kwenye matokeo ya FTNA, kwa hiyo hata haya matokeo ya NECTA tutarajie madudu ikiwa serikali watashindwa kuchakachua matokeo.
 
Tuanomba media zitusiadie kupaza sauti hawa watu watoe matokeo au tamko la siku ambayo watayatangaza,. Vijana wetu wanaugulia sonona na msongo wa mawazo kila siku wanasubiri. Kama Msonde aliweza huyu anaekaimu kashindwa nini au ni mbinu za kutaka kumhujumu asipewe kijiti?
 
Back
Top Bottom