π€£π€£π€£π€£π€£Umefeli
Asante kwa taarifaHayo hapo
Wanachowaza ni kuwa wanataka yatoke haraka ili Kama mtu kafeli ajiandikisje PC kabla ya 28.02.2023ππππππWatoto wana wasiwasi balaa.
πππ watu kwa fursaMimi ndio huyo kaka karibu sana natoa huduma kwa kila siku ya wiki
Bila shaka matokeo yatakuwa mabaya; sasa wako bize wanachakachua ili yakae vizuri. Tumeshuhudia jinsi shule za Kata kama vile Mbagara na Mburahati walivyovurunda kwenye matokeo ya FTNA, kwa hiyo hata haya matokeo ya NECTA tutarajie madudu ikiwa serikali watashindwa kuchakachua matokeo.Miaka mitatu hii matokeo yamekuwa yakitoka mwanzoni mwa January. Kunaa nini kimewasibu NECTA mwaka huu.
Nini kinaendelea huko NECTA?