uwe hodari
JF-Expert Member
- Dec 16, 2022
- 4,045
- 8,608
Una haraka Gani?!!Shule wanaripoti July hukooo ..washayatoa ya std 7,Std 4 na form yachelewe tu hayo ya form four
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Andaa pesa ya ku-resit Mapema ^^^^natania mkuuWanatoa lini
Nimeona kama yameachiwa Leo?Miaka mitatu hii matokeo yamekuwa yakitoka mwanzoni mwa January. Kunaa nini kimewasibu NECTA mwaka huu.
Nini kinaendelea huko NECTA?
Mkuu sonona inatokana na Nini ?:Tuanomba media zitusiadie kupaza sauti hawa watu watoe matokeo au tamko la siku ambayo watayatangaza,. Vijana wetu wanaugulia sonona na msongo wa mawazo kila siku wanasubiri. Kama Msonde aliweza huyu anaekaimu kashindwa nini au ni mbinu za kutaka kumhujumu asipewe kijiti?
Basi tujiandae kuoa maana zero za Mademu zinatishaNimeona kama yameachiwa Leo?
Ukioa namba E jiandae kwa lolote,hawafai Hawa sio bure ππππ yaani miaka minne amekosa hata D mbili.Basi tujiandae kuoa maana zero za Mademu zinatisha