Msambaa mkweli
JF-Expert Member
- Dec 31, 2011
- 338
- 427
oshie, nzeze?Inaonekana mpaka sasa, swala la form2 kuvuka kidato cha 3 kwa wastani ni kiini macho. Serikali inatakiwa kuwa makini, elimu ya Tanzania inashuka kiwango kwa kuwa na watu ambao taaluma yao haina viwango. Tunahitaji wataalamu makini. Mungu ibariki Tanzania.
Nasikia matokeo ya form two yametoka na shule zina matokeo. Source ni wanafunzi.