Matokeo ya Kidato cha pili-2011

Matokeo ya Kidato cha pili-2011

Msambaa mkweli

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2011
Posts
338
Reaction score
427
Inaonekana mpaka sasa, swala la form2 kuvuka kidato cha 3 kwa wastani ni kiini macho. Serikali inatakiwa kuwa makini, elimu ya Tanzania inashuka kiwango kwa kuwa na watu ambao taaluma yao haina viwango. Tunahitaji wataalamu makini. Mungu ibariki Tanzania.

Soma Pia: National form II Results 2009 aibu
 
Kusema ukweli baraza la mitihani Tanzania haliko responsible pamoja na serikali kwa ujumla. Haiwezekani mpaka shule zinafunguliwa matokeo ya f 2 hawaja yatangaza haiingii akilini, ushauri wafanye kazi ipasavyo na sio wanavyofanya sasa.
 
Inaonekana mpaka sasa, swala la form2 kuvuka kidato cha 3 kwa wastani ni kiini macho. Serikali inatakiwa kuwa makini, elimu ya Tanzania inashuka kiwango kwa kuwa na watu ambao taaluma yao haina viwango. Tunahitaji wataalamu makini. Mungu ibariki Tanzania.
oshie, nzeze?
 
Nasikia matokeo ya form two yametoka na shule zina matokeo. Source ni wanafunzi.
 
Ndugu zangu natafuta matokeo ya kidato cha pili 2011. Je kuna mahali pengine wanayatoa tofauti na shuleni? nisaidie tafadhali
 
Back
Top Bottom