Inategemea Tecno model ganiHiyo found on page ipo na kwetu watumiaji wa Tecno? mm siioni kabisaa!!!
SawaInategemea Tecno model gani
Dah nimejifunza Jambo jipya, ndio maana naipenda Sana jamiiforumsAcha uzembe , bonyeza 'find on page' kisha type jina la shule fastaa tu linakuja.
Kinachokupa option ya kufind siyo simu ila ni software/ app unayoitumia.Hiyo found on page ipo na kwetu watumiaji wa Tecno? mm siioni kabisaa!!!
Haya ngoja nijaribuIngia kwenye website kawaida yakishafunguka bonyeza vile vidoti vitatu juu kulia kisha itakuja menu fulani, shuka ubonyeze kwenye Find in page utakuja uwanja wa kuandika sms , andika jina la shule utakuja ukurasa wenye hilo jina na hilo jina litakuwa na rangi tofauti na mengine, bonyeza pale. Imeisha hiyo.
Nimepata mkubwa. Shukrani umeniongezea maarifa.Ingia kwenye website kawaida yakishafunguka bonyeza vile vidoti vitatu juu kulia kisha itakuja menu fulani, shuka ubonyeze kwenye Find in page utakuja uwanja wa kuandika sms , andika jina la shule utakuja ukurasa wenye hilo jina na hilo jina litakuwa na rangi tofauti na mengine, bonyeza pale. Imeisha hiyo.