mohammad_othar
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 247
- 42
Kiwango cha zero kimefikia 75% ili kufikia malengo ya Milenium na kupunguza mahitaji yasiyo lazima ya Result slips na Wingi wa migomo vyuoni!!
Mbona sijakupata hio taarifa umepata wap ?
tuliza mzuka, usitegemee kuokota Dodo chini ya mbuyu, weka namba yako ya Mtihani vyanzo vya Kuaminika vikupe matokeo yako!
Hivi ni kweli hayo matokeo yatatangazwa kesho tar 29 ? Kuna ukweli wowote kuhusu hili
ww mwenyw c umeona leo tar 30 bro
Ww nimepost hio tarehe 28 kuwa muangalifu
nadhan haujanielewa tar 29 imeshapita leo tar 30 bado hayajatoka na walisema tar 29 ndo yatatoka,
Acha uoga