Matokeo ya kidato cha sita 2013

Matokeo ya kidato cha sita 2013

mohammad_othar

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2013
Posts
247
Reaction score
42
Hivi ni kweli hayo matokeo yatatangazwa kesho tar 29 ? Kuna ukweli wowote kuhusu hili
 
shusha pressure,kesho si mbali hakuna sbb ya kuwa na wasiwasi!!
 
Kiwango cha zero kimefikia 75% ili kufikia malengo ya Milenium na kupunguza mahitaji yasiyo lazima ya Result slips na Wingi wa migomo vyuoni!!
 
Kiwango cha zero kimefikia 75% ili kufikia malengo ya Milenium na kupunguza mahitaji yasiyo lazima ya Result slips na Wingi wa migomo vyuoni!!

Mbona sijakupata hio taarifa umepata wap ?
 
Jaman mbona tunatiana presha, c tusubiri yatoke ndo muweke threads zenu
 
izo tetec 2,cku gan matokeo yanatangzw wanajua necta izo kesho keshokutwa ni uzush m2pu labda me nafikir 2xubili 2one...."
 
Back
Top Bottom