Matokeo ya Kidato cha Sita 2015 yametangazwa

Matokeo ya Kidato cha Sita 2015 yametangazwa

necta-logo.png
Habari zenu hatimae NECTA imetangaza matokeo kidato cha sita mwaka 2015,KUANGALIA MATOKEO YAKO BONYEZ







READ MORE>>>
Breaking news:MATOKEO KIDATO CHA SITA 2015 YATANGAZWA,HAYA HAPA
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...keo-ya-kidato-cha-sita-2015-yametangazwa.html
 
Chemistry ana ngapi mkuu? Na anataka kusoma course gani? Pia hiyo na A/Mathematics (Advanced Mathematics) au B/Mathematics(Basic Applied Mathematics ?

Chemistry ana D hio A/maths nmekosea. In short matokeo yake ni (Physics-E, Chemistry-D, Biology-C)...naomba mawazo
 
Kwa ufaulu huu wa masomo ya science wale mlio pospond mwaka Jana kutokana na competition bora u apply diploma ya afya kama deadline bado,
Maana BRN ni shiiida.
 
Mdogo wangu amepata pcb BBB+ kwa matokeo ya mwaka huu atapata MD.
 
Mdogo wangu ana EDC kwa ufaulu wa GPA atapata Bachelor of Education?
 
Mdogo wangu ana EDC Kwenye "HKL"kwa ufaulu wa GPA atapata Bachelor of Education?
 
Huyu ndie alieburuza tanzania nzima kwenye matokeo ya necta form6
Ramadhan nurdin gembe
 
Ramadhan gembe kutoka feza boyz
 

Attachments

  • 1437061336275.jpg
    1437061336275.jpg
    86.5 KB · Views: 179
Back
Top Bottom