Matokeo ya Kidato cha Sita 2015 yametangazwa

Matokeo ya Kidato cha Sita 2015 yametangazwa

Wana jamvi Mdogo wangu kasoma PCB ana Physics E, A/Maths D, Biology C, chuo anapata kweli?

Chemistry ana ngapi mkuu? Na anataka kusoma course gani? Pia hiyo na A/Mathematics (Advanced Mathematics) au B/Mathematics(Basic Applied Mathematics ?
 
Shule aliyojenga magufuri na kuikabdhi serikal imefanya vzr kdato cha sta.. ikiwa haina pas wala fail.. credt zkiwa n tatu tu.. zngne zote ni distinction na merit. Pcha chin
 

Attachments

  • 1436969149873.jpg
    1436969149873.jpg
    38.1 KB · Views: 452
Ndo maana hakuna creativity, watu wavivu sana.
Faulu tu tutakutana kwenye kazi, ukileta uzembe bye bye
 
sijui matokeo yanatokaje siku hizi maana hata mm sielewieleiwi ati
 
Hongereni mliofaulu.... Mshukuruni Mungu sana na kumwomba awape wepesi katika suala LA mikopo na TCU....
Soon jukwaa litabadilika
 
mwaka huu tutasikia mengi tu yake,swali langu ni hivi;mlikuwepo wapi kipindi chote kile tangu anatangaza nia,kuchukua fomu na kutafuta wadhamini?mbona sifa zote hizi alikuwa hapati,au mlikuwa hamumwamini?
 
Back
Top Bottom