Matokeo ya Kidato cha Sita 2015 yametangazwa

Matokeo ya Kidato cha Sita 2015 yametangazwa

tutajie hata kumi za kwanza na za mwisho pamoja na hali ya ufaulu ya ujumla kwani bado hayafunguki
 
Ninahitaji joining instruction ya kidato cha tano ktk shule ya magoma sec. School, kwa mwenye kuijua anijuze, au anipe contact za mkuu wa shule hiyo.
 
niangalizie rungwe high school namba 936


[td="width: 6%"] s0149/0936
[/td]
[td="width: 4%"] m
[/td]
[td="width: 6%"] 2.3
[/td]
[td="width: 4%"] credit
[/td]
[td="width: 58%"] g/studies - 'd' geogr - 'b' adv/maths - 'c' economics - 'c'
[/td]
 
Habari yenu wakuu....
Nimetafuta matokeo ya coastal high school...hayaonekani kwenye list ya necta.Tafadhali.naomba mniangalizie wakuu ili nijue kama wamefutiwa au la...

Nawasilisha...
 
Homgera kwa waliofaulu ila wasikate tamaa wale matokeo yao ambayo sio mazuri.
 
Wakuu naomba mnijuze kwa upande wa masomo ya science ufaulu wake ukoje?
 
Back
Top Bottom