Matokeo ya Kidato cha Sita 2015 yametangazwa

Chemistry ana ngapi mkuu? Na anataka kusoma course gani? Pia hiyo na A/Mathematics (Advanced Mathematics) au B/Mathematics(Basic Applied Mathematics ?

Chemistry ana D hio A/maths nmekosea. In short matokeo yake ni (Physics-E, Chemistry-D, Biology-C)...naomba mawazo
 
Kwa ufaulu huu wa masomo ya science wale mlio pospond mwaka Jana kutokana na competition bora u apply diploma ya afya kama deadline bado,
Maana BRN ni shiiida.
 
Mdogo wangu amepata pcb BBB+ kwa matokeo ya mwaka huu atapata MD.
 
Mdogo wangu ana EDC kwa ufaulu wa GPA atapata Bachelor of Education?
 
Mdogo wangu ana EDC Kwenye "HKL"kwa ufaulu wa GPA atapata Bachelor of Education?
 
Huyu ndie alieburuza tanzania nzima kwenye matokeo ya necta form6
Ramadhan nurdin gembe
 
Ramadhan gembe kutoka feza boyz
 

Attachments

  • 1437061336275.jpg
    86.5 KB · Views: 179
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…