nkyalomkonza
JF-Expert Member
- Jun 18, 2012
- 1,154
- 444
Kwa wale waliokuwa wanasubiria matokeo ya kidato cha Sita Tembelea hapo
http://necta.go.tz/matokeo/2015/Alevel.htm
http://necta.go.tz/matokeo/2015/Alevel.htm
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu mbona kama hayafunguki yote...kuna tatizo na sim yangu au system yao bado haijafunguka vizur
Website yao iko hovyo, web gani inakuambia fungua hapa kuona matokeo halafu ukifungua hukuti kitu.
shule gani?
Matusi ya nini? Unadhani wewe unajua kila kitu!WE kweli ni konda. Usilalame wakati ni umbumbumbu wako. Mbona inafunguka.
WE kweli ni konda. Usilalame wakati ni umbumbumbu wako. Mbona inafunguka.
s369.....
Hii itakuwa Shule yangu ya Ruvu Sec. Sahihi Mkuu?
Hii itakuwa Shule yangu ya Ruvu Sec. Sahihi Mkuu?
Ndio mkuu bila shaka umeyapata
Ni kati ya Shule ambazo ni bado. Uwe na subira
matokeo ya kidato cha sita yametangazwa mtandaoni rasmi na baraza la mitihani nchini almaarufu kama necta. Kuyaona matokeo hayo ingia hapa:necta | view news
http://necta.go.tz/matokeo/2015/alevel.htm
Yapo lakini ni shule chache sana ambayo mimi nimeyaona
Kama blog yako ipo active tupia matokeo ya walimu dip na grad