Matokeo ya Kidato cha Sita kwa Mwaka 2019 yametangazwa rasmi leo

Dah kasema ataomba udaktari tu et anataka afuate nyayo zangu !

Private lakini si uhakika ?
 
Dah kasema ataomba udaktari tu et anataka afuate nyayo zangu !

Private lakini si uhakika ?
Ngoja tusubiri Guidebook itasemaje kuhusu watu wa afya maana kila mwaka TCU huwa wanakuja na mambo mapya

kulingana na ratiba ya TCU Guidebook wanatoa kesho mkuu
 
Anhaa , kwani mwaka jana kuna watu waliopata one ya nane kwa vyuo vya serikali walikosa ?

Wakuu wengine njoen mtoe mchango wenu hapa !

Kwa md ?
Mkuu kwanza mpe Hongera mdogo wako kwa kupata one ya 8, ila kwa miaka ya sasa one ya 8 ni kawaida maana kuna madogo ni mbwa wanakung"uta banda kama hawana akili nzuri.

kwa hiyo one labda ajaribu vyuo vya private tofouti na hapo akasomee unesi...
 
Advance mara zote wapo smart
kismir ina wanafunzi wachache sana mkuu ,ingawa ipo top ten embu angalia mziki st Mary gorret,Marian girls na Boys na hata kibosho girils ,zote hizo zimeipita kwa mbali idadi ya wanafunzi waliopata division one mkuu ,NACTE iache kulinganisha shule zenye wanafunzi wachache na wale walio wengi ili kuweza kipata picha halisi ya ushindani ,zile zenye wanafunzi chini ya mia moja zilinganishwe kivyake mkuu
 
HaYa Matokeo ya kisiasa haya...

Haiwezekani ma Division One yakawa kama mboga...

Sioni wasio na wani kupata vyuo..
 
Hivi mnajua Kisimiri - Arusha ni shule ya Kata!! Nafikiri inafaa kutumika kama case study kwa shule nyingine za kata nchini walimu wakajifunze mbinu pale Kisimiri.
 
Shul Performance ya shule zinakuwa ranked based % performance ambayo ni fair assessment
 
Hivi mnajua Kisimiri - Arusha ni shule ya Kata!! Nafikiri inafaa kutumika kama case study kwa shule nyingine za kata nchini walimu wakajifunze mbinu pale Kisimiri.
Labda Mbinu za Kuvujisha mtihani..
 
Mkuu kwanza mpe Hongera mdogo wako kwa kupata one ya 8, ila kwa miaka ya sasa one ya 8 ni kawaida maana kuna madogo ni mbwa wanakung"uta banda kama hawana akili nzuri.

kwa hiyo one labda ajaribu vyuo vya private tofouti na hapo akasomee unesi...
Kun mtu kanambia udom au ile campus ya mbeya ya udsm anaweza kupata !
 
Matokeo ya f6 yanatangazwa hivi punde. Tayari Necta wameweka tangazo


Shule ya Sekondari ya Nyamunga ya mkoani Mara imeshika namba moja kati ya shule 10 zilizofanya vibaya kitaifa katika matokeo ya kidato cha sita mwaka 2018.

Matokeo hayo yametangazwa leo Alhamisi Julai 11, 2019 na katibu mtendaji wa Baraza la Mitihani Tanzania (Necta), Dk Charles Msonde.

Katika orodha hiyo kuna shule nne za Mjini Magharibi visiwani Zanzibar ambazo ni Kiembesamaki A Islamic, Mpendae, Tumekuja na Haile Selassie.

==>>Hizi ni Shule 10 za Mwisho Kitaifa
1. Nyamunga, Mara.

2. Haile Salassie Mjini Maghari.

3. Tumekuja,mjini Magharib

4. Bumaangi,mara

5. Butuli,mara

6. Mpendae, Mjini Magharib

7. Eckernford, Tanga.

8. Msimbo, Katavi.

9. Mondo, Dodoma.

10. Kiembe Samaki A Mjini Magharib
 
Umeanza Kaskazini tena[emoji3][emoji3]

Hakuna shule ya Kilimanjaro hata moja top ten pamoja na kuwa na shule nyingi.
Hapa Ni orodha ya kumi Bora wa masomo ya sayansi wana kilimanjaro tunatishaaaaaaa ngome ya elimu
 
Siku ya Leo bhana!Ni nzuri pale ambapo ndugu yako kaongoza kitaifa katika mchepuo husika nawe umepangiwa shule ya kufundisha na serikali!Mpitie tovuti ya tamisemi mjiangalie majina yenu Kama yapo!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…