Matokeo ya Kidato cha Sita kwa Mwaka 2019 yametangazwa rasmi leo

Matokeo ya Kidato cha Sita kwa Mwaka 2019 yametangazwa rasmi leo

Aya wakuu huyu dada yangu ye ana three ya 13 ila ni YA HGL hivi hapo mkopo si asihangaike kuomba!?
 
Aya wakuu huyu dada yangu ye ana three ya 13 ila ni YA HGL hivi hapo mkopo si asihangaike kuomba!?
me naweza sema mkopo kama anavigezo atapata sema aombe Education kama yupo interested afu awam ya kwanza ahkikishe anaomba vyuo vya private sababu mwaka huu watu wamefauru sana
 
Hahaha kama ela ipo basi mtimizien ndoto zake matokeo yake mazuri ila kwa vyuo vya serikali atapenya mchuano wake????au otherwise tumieni kujuana tu maana chuo sikuhizi chuo ndo kinakuchagua so kama ukiwa na mtu kati na vigezo unavyo vya TCU basi anaingia.
Sema dogo yaani ye na udaktari hafikirii kozi zingine
 
Hahaha kama ela ipo basi mtimizien ndoto zake matokeo yake mazuri ila kwa vyuo vya serikali atapenya mchuano wake????au otherwise tumieni kujuana tu maana chuo sikuhizi chuo ndo kinakuchagua so kama ukiwa na mtu kati na vigezo unavyo vya TCU basi anaingia.
Sasa mkuu

Kama chuo kile cha mbeya mwisho walchukua one ya ngapi md !!?
 
me naweza sema mkopo kama anavigezo atapata sema aombe Education kama yupo interested afu awam ya kwanza ahkikishe anaomba vyuo vya private sababu mwaka huu watu wamefauru sana
Hivi tofaut ya maombi ya vyuo binafsi na maombi ya vyuo private ni nin?

Na je kuna athari zozote kuhusu mikopo ukiomba vyuo vya private??

Na unaweza nisaidia orodha hata ya vyuo vizuur vikubwa vitatu vya private hapa tz mkuu???
 
Anaweza kukosa hadi Udom au asubiri awamu ya pili mwaka jana mtu alikuwa ana point nane alisubiri baadae
Hata udom atakosa ? [emoji3]

Au ile campus ya udsm mbeya

Kwan cutting point zmekaaje au kafeli
 
Kwa hiyo mwakani anaweza kupata !
Kama mwaka huu akikosa chuo ..basi mwakani akiomba kwa usahihi atapata tu
Lakini cha kumshauri akiwa anaomba mwaka huu inabidi aombe kwa umakini mkubwa, asiombe cozi zenye ushindani wa hali ya juu

Dirisha la maombi ya vyuo vikuu linafunguliwa kuanzia tarehe 15/07/2019
 
Attachments

Shukran saana father... Ngoja aanze harakat ila kuna mtu kaniambia compitition ya kozi inakuwaje... Achague kozi gani ambayo haina ushindani kwenye kuchaguliwa... Kuhusu ajira hakuna tatizo..

La msingi aelimike tu
Capture.PNG
Hizi ni kozi zilizo udom ambazo hazina ushindani kwa education
Capture.PNG
hizi nyingine kwa pale udom ambazo hazina ushindani
 
Dogo kapata 3 ya 15, sijui tumpeleke wapi, Geography-D, Math-S, Economics-E
 
Back
Top Bottom