Matokeo ya Kidato cha Sita kwa Mwaka 2019 yametangazwa rasmi leo

Matokeo ya Kidato cha Sita kwa Mwaka 2019 yametangazwa rasmi leo

Wanatumia vigezo vipi na kwa nini akose ?? !

Admission si eight points au

Mi sisemei muhas mzee

Hawaelewi wanachokisema, cutt off ni 8, ukiwa na 1.8 una 10point sasa unakosaje sifa??

Na vyuo vyote vimepewa standards hizo hizo
 
2012 naingia chuo, walichukua hafi washkaji zangu walikua na 2.10

Japo mwaka jana kuna dogo alikua na 1.8 alitemwa Muhas, tungoje mwaka huu

Admi ya Muhas ni 200+ kwa MD, nadhani huwa wanaangalia na background ya Olevel

Hapana, tunafanana kesi, pia dogo ana 1.8, Phys C, Bio C, Chem B
Yaani mi sisemei muhas nasemea vyuo vingine vinavyochukua md vya serikali

Muhas najua ni ngumu kupata nlsoma hapo zamani miaka hyo 2009
 
hapo mkuu sidhani, maana afadhali angekuwa na SDD ambayo pia ni point 14 ila kwa hiyo sidhani maana wanaconsider sana D mbili
Sio D pekee mkuu ni minimum of 4 points, tazama hapo kiongozi.
 

Attachments

  • DEGREE ENTRY QUALIFICATIONS 1.jpg
    DEGREE ENTRY QUALIFICATIONS 1.jpg
    452.6 KB · Views: 20
Inaonekana vijana wa siku hizi wanafanya vizuri maana kufaulu kwa 98.32% siyo kwa mchezo,hongereni walimu kwa kazi nzuri na kubwa kwa Taifa
 
Shukran saana father... Ngoja aanze harakat ila kuna mtu kaniambia compitition ya kozi inakuwaje... Achague kozi gani ambayo haina ushindani kwenye kuchaguliwa... Kuhusu ajira hakuna tatizo..

La msingi aelimike tu
Huyo anaenda chuo kabisa sababu amekidhi viwango vya TCU ..kuwa na principal pass mbili(Yaani kuwa na D Mbili na kuendelea) hivyo mwambie aanze kuomba mkopo wa chuo kikuu ..maana dirisha limeshafunguliwa la kuomba mkopo
 
Back
Top Bottom