Matokeo ya Kidato cha Sita kwa Mwaka 2019 yametangazwa rasmi leo

Matokeo ya Kidato cha Sita kwa Mwaka 2019 yametangazwa rasmi leo

Anhaa , kwani mwaka jana kuna watu waliopata one ya nane kwa vyuo vya serikali walikosa ?
Wakuu wengine njoen mtoe mchango wenu hapa !
Kwa md ?
kwa matokeo hayo MD sidhani, maana muhimbili mwaka jana almost waliopata mwisho 1.6 angalau ndo waliweza kupenya UDOM baadhi waliokuwa na 1.7 walipata bahati zao.
Ila sijajua kwa mwaka huu maana kuna kuna chuo kingine UDSM mbeya campus nahisi hadi za 1.8 zinaweza kupata mwanya.
 
Pia NACTE kwa sasa bado hawajafungua dirisha la maombi. Matokeo ndio yametoka leo itabidi mifumo iwekwe sawa ili isomane ni jambo linachukua muda kidogo the same apply to vyuo chini ya TCU na HESLB

we nae funza muda mwingine kiazi. inakuchukua muda gani kingia ebsite ukaona?

KUFUNGULIWA KWA MFUMO WA UDAHILI KWA MAFUNZO YA UALIMU NGAZI YA ASTASHAHADA NA STASHAHADA KWA VYUO VYA SERIKALI NA VISIVYO VYA SERIKALI KWA MWAKA WA MASOMO 2019/20
Posted on July 3, 2019 | Posted in Uncategorized
KUFUNGULIWAKWA MFUMO WA UDAHILI KWA MAFUNZO YA UALIMU NGAZI YA ASTASHAHADA NA STASHAHADAKWA VYUO VYA SERIKALI NA VISIVYO VYA SERIKALI KWA MWAKA WA MASOMO 2019/20
 
Kuna dogo kapata

Physics B

Chem C

Bios C

Anaweza pata chuo cha udaktari bongo ukitoa muhimbili cha serikali , sijui hata admissions zmekaaje miaka hiki

Msaada tafadhali
Nafikiri anapata Pcb mwaka huu naona kama wachache
 
Umeanza Kaskazini tena[emoji3][emoji3]

Hakuna shule ya Kilimanjaro hata moja top ten pamoja na kuwa na shule nyingi.
Ila kimkoa hutukosi top Ten hiyo haikwepeki tangu nchi hii kupata Uhuru
Sisi tunaangalia majority hatuangalii individual umeona ya 2018 tulivyowatupa mbali WASHAIJA?
 
Kuna dogo kapata

Physics B

Chem C

Bios C

Anaweza pata chuo cha udaktari bongo ukitoa muhimbili cha serikali , sijui hata admissions zmekaaje miaka hiki

Msaada tafadhali
Aende Kampala university muhas kuna watoto wanapenda sifa wanaandika A masomo yote manne
 
Hawa madogo nao wamalize kusoma... Dingi niko anti-book tunachanganyana akili tu.

Huyu vipi huyu... Niandae pesa au nimkabidhi mtaji.

General studies - E.
History - S
Kiswahili - D
Language - D

Ni dvsn 3 ya 14.
Chuo anaenda ila anaonekana hapendi kusoma huyo mtafutie fani
 
13 iyo mkuu andaa pesa
Ni 14 ila vipi kwamba uhakika atapata chuo au tuombe MUNGU tu lolote linaweza likawa.....


Alafu kuna mwamba kanielekeza kuwa inabid aombe kozi ambazo hazina competition ila sizijui ndio zipi sasa.....
 
Enzi zetu elimu ilikuwa hajaingiliwa sana na siasa. Siku hizi yupo jiwe na sirikali yake anachotaka yeye ni sifa tu, hata kwa kuchezea mambo nyeti kama elimu. Wao wanataka kusikia "ufaulu umeongezeka" hata kama hao wanaosemwa wamefaulu hawajui kusoma na kuandika (refer to form one students).
Yeah!
 
Duh.... Bora kidogo nlikuwa nna mashaka nae saana... Ila kisanga kwenye kozi gan...

Na nilitaka asiende mbali na dom au dar.... Mdwanz saana dogo anaenda kimungu mungu tu dadek
Saut zote, Mwal Nyerere, Makumira anasoma
 
Aaah aaah braza kama umeota... Huyu dogo na kusoma ni tofaut ila usenge uliopo hata vitu vingine pia haviwez... Kuna kipindi nilimuachia business zangu wakati anasubiri matokeo... Dah mwezi tu dadek nikakuta loss ya hatari... Mwendo wa nguo jeans na bata...

Sasa mshua anataka dogo apembuke akili kupitia elimu au mchanganyiko wa jamii mbali mbali baada ya hapo ndio tujaribu kumuweka sehemu...

Kwa sasa muache akakuzwe na maprofesa tu mi ntauwa buure ...
Chuo anaenda ila anaonekana hapendi kusoma huyo mtafutie fani
 
Back
Top Bottom