Ta Muganyizi
R I P
- Oct 19, 2010
- 5,355
- 2,736
Kuna aliyepokelewa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabsa..kipind cha nyuma mfumo ulikua tofauti sana..nina schoolmate mmoja alipata div 3 ile ya mwsho mwaka 2013..akaenda medicine Kcmc..lakin hilo tokeo kwa kipind hiki, degree dah inakua ngumu hiv hatakama mtu kasoma sayans bado changamoto anapata...Duh basi elimu imekuwa ngumu sana maana enzi zetu ilikuwa ukiwa na hizo marks mapema sana degree unaenda.
Anhaa , kwani mwaka jana kuna watu waliopata one ya nane kwa vyuo vya serikali walikosa ?
Wakuu wengine njoen mtoe mchango wenu hapa !
Kwa md ?
Hawa madogo nao wamalize kusoma... Dingi niko anti-book tunachanganyana akili tu.
Huyu vipi huyu... Niandae pesa au nimkabidhi mtaji.
General studies - E.
History - S
Kiswahili - D
Language - D
Ni dvsn 3 ya 14.
afadhali yatoke hawa wanafunzi watupunguzie jam, na stress huku JFBaraza la Mitihani la Taifa (Necta) nchini Tanzania leo Alhamisi Julai 11, 2019 limetangaza matokeo ya kidato cha sita ya mwaka 2019
Katika matokeo hayo yaliyotangazwa na Katibu Mtendaji wa Necta mjini Unguja Zanzibar, Dk Charles Msonde amesema ufaulu umeongezeka kutoka asilimia 97.58 mwaka 2018 hadi kufikia asilimia 98.32 mwaka 2019 ikiwa ni sawa na asilimia 0.74.
Dk Msonde amesema mtihani huo uliofanyika kati ya Mei 6 hadi 23 mwaka 2019, watahiniwa 91,298 walisajiliwa wakiwamo wasichana 37,948 sawa na asilimia 41.56 na wavulana 53,350 sawa na asilimia 58.44.
Amesema kati ya watahiniwa waliosajiliwa, watahiniwa wa shule walikuwa 80,216 na watahiniwa wa kujitegemea walikuwa ni 11, 082.
Katibu mtendaji huyo amesema kati ya watahiniwa 91,298 waliosajiliwa kufanya mtihani , watahiniwa 90,001 sawa na asilimia 98.58 walifanya mtihani na watahiniwa 1,297 sawa na asilimia 1.42 hawakufanya mtihani huo kutokana na sababu mbalimbali zikiwemo za ugonjwa na utoro.
Dk Msonde amesema watahiniwa wa shule, kati ya watahiniwa 80,216 waliosajiliwa, watahiniwa 79,770 sawa na asilimia 99,44 walifanya mtihani ambapo wasichana walikuwa 33,883 sawa na asilimia 99.57 na wavulana 45,887 sawa asilimia 99.35. Watahiniwa 446 sawa na asilimia 0.56 hawakufanya mtihani.
Amesema watahiniwa wa kujitegemea kati ya11,082 waliosajiliwa, 10,231 sawa na asilimia 92.32 walifanya mtihani na watahiniwa 851 sawa na asilimia 7.68 hawakufanya.
“Jumla ya watahiniwa 88,069 sawa na asilimia 98.32 ya watahiniwa waliofanya mtihani wamefaulu,” amesema Msonde
Poa ngoja nmshauri dogo !Kwa ufaulu huo serikali hukosi mkuu ila kesi yako ya MD ndo utata uliopo otherwise uwe na mbuyu maana now daiz chuo ndo kinadahili sio TCU tena
ingia UoneDah hata hivyo kwa sasa una-apply chuo kipi hicho ambacho NACTE wametangaza?
13 iyo mkuu andaa pesaHawa madogo nao wamalize kusoma... Dingi niko anti-book tunachanganyana akili tu.
Huyu vipi huyu... Niandae pesa au nimkabidhi mtaji.
General studies - E.
History - S
Kiswahili - D
Language - D
Ni dvsn 3 ya 14.
WE FUNZA HUJAELEWA. Ukiwa unaaply NACTE ukaingiza matokeo ya form six hayaonekani.Mtoa mada hebu kunywa maji roho itulie. Tatizo lako ni nini ndugu? matokeo ya kidato cha sita au kuna linguine? kama ni matokeo mbona yanapatikana kirahisi ngoja nikuwekee link. Utapata kisukari bure ukiwa unapaniki kwa mambo madogo
Saut zote, Mwal Nyerere, Makumira anasomaHawa madogo nao wamalize kusoma... Dingi niko anti-book tunachanganyana akili tu.
Huyu vipi huyu... Niandae pesa au nimkabidhi mtaji.
General studies - E.
History - S
Kiswahili - D
Language - D
Ni dvsn 3 ya 14.
Basi hiyo simple, next week mnazi mmoja jijini dar kuna maonesho ya TCU lazima watakuwepo. Hapo huwa kila taasisi wanatenda kwa weledi kama ilivyo wiki la utumishi wa ummaingia Uone
Wameingiza shule tatu kwenye kumi bora 1 kisimiri, 5 Tabora Boys na 6 Kibaha secJee shule za serikali zimefua dafu dhidi ya zile za private?
Nafasi ya shule za Geita ikoje?