Matokeo ya Kidato cha Sita kwa Mwaka 2019 yametangazwa rasmi leo

Matokeo ya Kidato cha Sita kwa Mwaka 2019 yametangazwa rasmi leo

Mkuu huyo kwa saiv changamoto ipo sana ....aandaliwe mtaji na akabidhiwe kwa mkataba tu..hlf saiv kusoma hakuna mantiki sana

Duh basi elimu imekuwa ngumu sana maana enzi zetu ilikuwa ukiwa na hizo marks mapema sana degree unaenda.
 
Naona Kama kawaida tena Kisimiri ya Kwanza... Siasa ikiingia kwenye kila kitu ni changamoto
 
Hivi ukiwa Japan website ya Necta haifunguki mkuu ?

Yeye lengo lake alitaka mjue kuwa yuko Japan
 
Mwenye top ten schools
Hizo hapo
IMG_20190711_133150.jpeg
 
Enzi zetu elimu ilikuwa hajaingiliwa sana na siasa. Siku hizi yupo jiwe na sirikali yake anachotaka yeye ni sifa tu, hata kwa kuchezea mambo nyeti kama elimu. Wao wanataka kusikia "ufaulu umeongezeka" hata kama hao wanaosemwa wamefaulu hawajui kusoma na kuandika (refer to form one students).
Duh basi elimu imekuwa ngumu sana maana enzi zetu ilikuwa ukiwa na hizo marks mapema sana degree unaenda.
 
Back
Top Bottom