Matokeo ya Kidato cha Sita kwa Mwaka 2019 yametangazwa rasmi leo

Matokeo ya Kidato cha Sita kwa Mwaka 2019 yametangazwa rasmi leo

Ni kwa mda gani? Na ukimaliza unaruhusiwa kujiunga na chuo chochote?
Ni mwaka mzima mkuu; jamaa niliyemsindikiza pale open sasa yupo Tumaini ya pale mwenge dar es saalam.ana persue degree yake tu vizuri.
 
Anapata lakini Private
Anapata lkn private au labda kama ana mibuyu huko vyuo vya serikali pia inategemea ufaulu wa mwaka huu PCB umekuwaje
Hata udom atakosa ? [emoji3]

Au ile campus ya udsm mbeya

Kwan cutting point zmekaaje au kafeli
 
Hahaha 1.8 PCB kafeli vp hapo....sema kama selikalin naona atapta nusring au dental surgery ila PCB 1.8 MD sidhan labda kama PCB hawafaulu sana kama miaka ya nyuma.
Hata udom atakosa ? [emoji3]

Au ile campus ya udsm mbeya

Kwan cutting point zmekaaje au kafeli
IMG_20190711_142900_0.jpeg
 
Mkuu yaani huwezi kuamini, kule NACTE ambapo viana wetuwanaomba nafasi za Masomo, kuna namba za simu zaidi ya 11 lakini hakuna anayepoke. Matokeo ya Kidayp cha sita yaliyotoka leo NACTE hawana na ukiingiza namba wanasema

"Error! Provided Index/Registration number and Examination/Graduation Year not found in our database, check them and try again or Contact the your institution and advice them to submit your details to NACTE (Code 4001)"

Tulitarajia wao wawe wa kwanza kuwa nayo ili iwe rahisi sisi kuomba lakini ndugu wapo tu wanakula shushu wala mtu hapokei. Namba zenywewe hizo hapo chini. Pigeni muone. Labda watazipokea wakijiona hapa.

"For any enquiries please call NACTE on +255 22 2780077, +255 22 2780312, +255 719 222 846, +255 787 050 389, +255 768 614 045 or write to admissions@nacte.go.tz
Zonal Contacts: Northern Zone - 0658444556/0658444557, Central Zone - 0658444558/0658444559, Lake Zone - 0658444560/0658444562"


Pigeni mnisaidie.
 
Back
Top Bottom