Matokeo ya Kidato cha Sita ni kanyaboya!

Matokeo ya Kidato cha Sita ni kanyaboya!

jamboo usilolijua ni usiku w giza ukitaka kujua nn kilifanywa uwe ktk sekta huska ni hatari,si kila anayeongea anamaansha mda mwngne anazungumza tu,NCHI ISHAUZWA HIII TUJIPANGEE
 
hivi wewe tutusa hujui kinachoongelewa hapa? kutanua magoli ndio kuboresha elimu? viwango vya ufaulu vimeshushwa. sasa inaanzia 75-100 badala ya 81-100 kama kama zamani. wewe huoni kwamba magoli yametanuliwa ili kuboresha ufaulu kisiasa? acha kutetea ujinga bana.

Hata mimi nachukia uzembe wa serkali ktk sekta ya elimu lakini kwenye ukweli lazima usemwe, Kwa taarifa tu laiti kama NECTA wangetumia grade kama za mwaka jana basi hwa vijana wa mwaka huu wangefaulu kupita kiasi hadi mngeshangaa sana, Fanya utafiti wa wanafunzi karibia wote waliopata daraja la 2 hao walistahili daraja la kwanza.
 
Kuna taarifa za siri na kiintelijensia zinazobainisha kwamba matokeo ya Mitihani ya kuhitimu Kidato cha Sita (ACSEE) yamepikwa kisiasa. Inadaiwa kwamba matokeo hayo yalichakachuliwa (standardized) mara 3 na kikosikazi kilichopewa majukumu ya 'kuyaboresha' kabla ya Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA) kuyatangaza hadharani.

Habari zinabainisha kwamba baada ya matokeo ya kwanza kutoka, ambayo yalikuwa mabaya sana, Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dr Shukuru Kawambwa, aliunda timu ya watu 6 ili 'kuboresha' matokeo hayo. Timu hiyo ilijumuisha watu wawili kutoka NECTA, watatu kutoka Wizara ya Elimu, na mtaalamu mwelekezi kutoka Kitivo cha Elimu cha Chuo Kikuu cha Dar es laam, kampasi ya Mlimani.

Inaelezwa kwamba lengo kubwa la 'kuboresha' matokeo ni kuwavisha wazazi kilemba cha ukoka, hasa baada ya serikali kushindwa kuboresha kiwango cha elimu kwa vitendo. Ni matokeo yanayolenga kuwafurahisha wazazi na kuwafanya waamini kwamba kiwango cha elimu nchini kimepanda. Hii ni hatari kuliko maelezo!

:israel:

Wew ndo boya kwel... Kwanza ushamalza kulima?
 
Kiukwel inaboa sana,afu nyie mnaotetea matokeo ya kijinga sijui mwatumia nini kufikiri.
 
tangu lini migamba mkakubali ukweli? kazi yenu ni kuvimbisha mimacho lumumba mkipiga dili za buku 7 wakati elimu yetu inazidi kuangamia. acha kujitoa akili kwa kila jambo. tabia hiyo ya kigamba ndiyo iliyotufikisha hapa tulipo sasa. shame upon you!

Punguza siasa Kwa kila jambo watakushangaa mpaka unaowashabikia., mi siyo ccm na sitokuja kuwa ccm., mi ni chadema tena damu but siyo km wewe mshabiki maandazi kila kitu unapinga tu., kupinga kila jambo hakusaidii chama chetu
 
hivi wewe tutusa hujui kinachoongelewa hapa? kutanua magoli ndio kuboresha elimu? viwango vya ufaulu vimeshushwa. sasa inaanzia 75-100 badala ya 81-100 kama kama zamani. wewe huoni kwamba magoli yametanuliwa ili kuboresha ufaulu kisiasa? acha kutetea ujinga bana.

Lini A ilikuwa 81 huu ni uongo wa mchana., necta walikuwa wanatumia flexible grade range ambazo zina tend ya kuchange accordingly to the situation., take it from me baraza hawajawahi kutumia that grade range ya 81
 
duuuuh bishaneni tu coz time will tell na pia ww km msomi elewa kwamba kufaulu sio issue bali nn unachokijua ambacho kitakuwezesha kushindana katika soko la ajira kwani 0 ni 0 kamwe haitokuwa 1!!!!
 
duuuuh bishaneni tu coz time will tell na pia ww km msomi elewa kwamba kufaulu sio issue bali nn unachokijua ambacho kitakuwezesha kushindana katika soko la ajira kwani 0 ni 0 kamwe haitokuwa 1!!!!

mkuu, funguka zaidi, bado sijakuelewa. ina maana wewe unapendezwa namna serikali ya CCM inavyochakachua elimu yetu?
 
kwa hyo ulitata tufeli ufurahi nn ? nawasiwas kama ulifka kdato cha cta ulipataga dvsn 0.wivu unakuxumbua
 
Unajua mtu ambaye hunaushahidi wakitu hupaswi kuongea na kuandika uongo hapa
inanipasha na elimu ya mtoa mada maana
kama kakurupushwa usingizini ni hivi
hebu angalia hapa
75-100 =A
74-65 = B+
64-55= B
54- 45= C
44- 35= D
34- 25= E
24- 0= F

old grading
81-100= A
80-65 = B
64- 55 = C
54 - 45 = D
44- 35 = E
34 - 26 = s
25- 0 = F
hebu angalia hapo kama kwa sasa hivi mtu aliyepata DDD yani ni vi
kwazamani angekuwa na ngapi jaribu kufwatilia mambo ndugu yngu!
 
kwa swala la elimu waachiwe watalamu elimu tatizo watz kila mtu anajifanya kujua taaluma ya elimu hata kama amesoma Ba kisw.kwa mfano utamkuta mtu kasoma law nae n Mwl.tuachieni tuwambie sisi ndio tunaojua kustanderdize sio kosa ila je hao waliofalu wanauwezo?kama wanao basi acheni wafaulu
 
kwa hyo ulitata tufeli ufurahi nn ? nawasiwas kama ulifka kdato cha cta ulipataga dvsn 0.wivu unakuxumbua

kwa hiyo wewe ukiwa striker kilaza ukitanuliwa magoli ili ufunge mabao mengi zaidi utajiona mjanja au juha? kumbuka kwenye mashindano utalazimika kutumia magoli madogo. hapa nchini CCM watakutia moyo lakini ukitoka nje ya tanzania utakutana na vikwazo vya wanyarwanda, wakenya na waganda waliopata elimu bora---wataajiriwa wao na kukuacha umetumbua macho kama mjusi aliyebanwa na mlango! sasa yafaa nini kuonekana umefaulu vema wakati kichwani hauna kitu?
 
Hata mimi nachukia uzembe wa serkali ktk sekta ya elimu lakini kwenye ukweli lazima usemwe, Kwa taarifa tu laiti kama NECTA wangetumia grade kama za mwaka jana basi hwa vijana wa mwaka huu wangefaulu kupita kiasi hadi mngeshangaa sana, Fanya utafiti wa wanafunzi karibia wote waliopata daraja la 2 hao walistahili daraja la kwanza.

Mkuu usitoe reference ya mwaka wa jana. Unapaswa urudi nyuma hadi enzi za mkapa na mwinyi wakati elimu ilipokuwa haijachakachuliwa. Kwa mfano, grading za O-level enzi hizo zilikuwa kama hivi:

81-100 A
61-80 B
41-60 C
21-40 D
0-20 F

Utaona kwamba A ya zamani ilikuwa inaanzia 81 lakini sasa serikali ya WEZI wameishusha chini. Siku hizi A inaanzia alama 70 (kama sijakosea). Hamuoni kwamba hapo goli limetanuliwa kuwezesha wanafunzi wengi wapate A ili wazazi wao wafurahi wawape kura (sema KULA) wanasiasa? Jitambueni enyi watanganyika!
 
Wew ndo boya kwel... Kwanza ushamalza kulima?

Sibishani na vilaza kama wewe. Ndio nimemaliza KULIMA. Kwani KULIMA ni dhambi? Ningekuwa silimi wewe ungekula m.a.v.i yako? Jitambue kwanza mwanahizaya mkubwa!
 
Punguza siasa Kwa kila jambo watakushangaa mpaka unaowashabikia., mi siyo ccm na sitokuja kuwa ccm., mi ni chadema tena damu but siyo km wewe mshabiki maandazi kila kitu unapinga tu., kupinga kila jambo hakusaidii chama chetu

mimi sijapinga ila nimeanisha ukweli. kama umezoea kuishi kwa uongo ni juu yako.
 
Back
Top Bottom