Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hivi wewe tutusa hujui kinachoongelewa hapa? kutanua magoli ndio kuboresha elimu? viwango vya ufaulu vimeshushwa. sasa inaanzia 75-100 badala ya 81-100 kama kama zamani. wewe huoni kwamba magoli yametanuliwa ili kuboresha ufaulu kisiasa? acha kutetea ujinga bana.
Kuna taarifa za siri na kiintelijensia zinazobainisha kwamba matokeo ya Mitihani ya kuhitimu Kidato cha Sita (ACSEE) yamepikwa kisiasa. Inadaiwa kwamba matokeo hayo yalichakachuliwa (standardized) mara 3 na kikosikazi kilichopewa majukumu ya 'kuyaboresha' kabla ya Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA) kuyatangaza hadharani.
Habari zinabainisha kwamba baada ya matokeo ya kwanza kutoka, ambayo yalikuwa mabaya sana, Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dr Shukuru Kawambwa, aliunda timu ya watu 6 ili 'kuboresha' matokeo hayo. Timu hiyo ilijumuisha watu wawili kutoka NECTA, watatu kutoka Wizara ya Elimu, na mtaalamu mwelekezi kutoka Kitivo cha Elimu cha Chuo Kikuu cha Dar es laam, kampasi ya Mlimani.
Inaelezwa kwamba lengo kubwa la 'kuboresha' matokeo ni kuwavisha wazazi kilemba cha ukoka, hasa baada ya serikali kushindwa kuboresha kiwango cha elimu kwa vitendo. Ni matokeo yanayolenga kuwafurahisha wazazi na kuwafanya waamini kwamba kiwango cha elimu nchini kimepanda. Hii ni hatari kuliko maelezo!
:israel:
tangu lini migamba mkakubali ukweli? kazi yenu ni kuvimbisha mimacho lumumba mkipiga dili za buku 7 wakati elimu yetu inazidi kuangamia. acha kujitoa akili kwa kila jambo. tabia hiyo ya kigamba ndiyo iliyotufikisha hapa tulipo sasa. shame upon you!
hivi wewe tutusa hujui kinachoongelewa hapa? kutanua magoli ndio kuboresha elimu? viwango vya ufaulu vimeshushwa. sasa inaanzia 75-100 badala ya 81-100 kama kama zamani. wewe huoni kwamba magoli yametanuliwa ili kuboresha ufaulu kisiasa? acha kutetea ujinga bana.
duuuuh bishaneni tu coz time will tell na pia ww km msomi elewa kwamba kufaulu sio issue bali nn unachokijua ambacho kitakuwezesha kushindana katika soko la ajira kwani 0 ni 0 kamwe haitokuwa 1!!!!
kwa hyo ulitata tufeli ufurahi nn ? nawasiwas kama ulifka kdato cha cta ulipataga dvsn 0.wivu unakuxumbua
Hata mimi nachukia uzembe wa serkali ktk sekta ya elimu lakini kwenye ukweli lazima usemwe, Kwa taarifa tu laiti kama NECTA wangetumia grade kama za mwaka jana basi hwa vijana wa mwaka huu wangefaulu kupita kiasi hadi mngeshangaa sana, Fanya utafiti wa wanafunzi karibia wote waliopata daraja la 2 hao walistahili daraja la kwanza.
Punguza siasa Kwa kila jambo watakushangaa mpaka unaowashabikia., mi siyo ccm na sitokuja kuwa ccm., mi ni chadema tena damu but siyo km wewe mshabiki maandazi kila kitu unapinga tu., kupinga kila jambo hakusaidii chama chetu