Mnamo October 26,2024 Israel ilifanya shambulizi la kulipiza kisasi dhidi ya Iran,katika shambulio hilo Israel ilitumia anga la Iraq kulitekeleza huku ndege chache aina ya F 35 zikipenya anga la Iran bila kutambuliwa na ulinzi wa Anga wa Iran
Baada ya shambulizi Hilo Iran ilikuja na majibu harakaharaka ikidai kuzima shambulizi ikiambatanisha na picha za video zilizoonyesha makombora machache ya ndege za Israel yakionekena kulipuliwa na mifumo ya Anga ya Iran juu ya anga yake
Israel na Marekani wakasema shmbulizi lilifanikiwa kudhoofisha mifumo ya ulinzi za Iran zikiwepo rada za bei ghali,mifumo ya ulinzi wa anga ya S 300 na viwanda vya silaha jambo ambalo Iran kupitia kwa wasemaji wake walikansha vikali huku wakitaja ni baadhi ya vifo vya askari wachache na rada chache zilizo baribiwa kidogo
Ayatollah kiongozi wakidini na serikali nchi Iran akasema pomoja nakuwa shambulio Hilo kufeli lakini litajibiwa promise lll ikatolewa kama ahadi ya kisasi kikali ambacho kitaacha historia duniani
Matokeo yamekuwa sawa na maoni ya wachambuzi WA mambo kwa sababu ni miezi kadhaa Sasa imepita Iran inasita kitekeleza ahadi yake ya kuilipua Israel
Ushawishi wa Iran umezidi kupungua hasa baada ya kundi lake la Hesbolah kupigwa na kusalim amri huku ikipoteza ushawishi wake nchi Syria baada ya kipenzi chake Assad Kung'olewa
Hivi karibuni pia Hamasi wameonyesha kushusha kiburi baada ya kukubali kuwaachia mateka ambalo lilikuwa dai kubwa la serikali ya Israel
Huu ni ushahidi wa kufanikiwa kwa kipigo Cha Israel kwa Iran mnamo October 26,2024