The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,582
- 14,167
Nawasalimu kwa jina la JMT, na ni matumaini yangu Kazi inaendelea.
Mwezi uliopita China ilitoa certificate of clearance kwa makampuni zaidi ya 300 ya Tanzania kuingiza na kuuza bidhaa mbalimbali Nchini mwao bila kikwazo na ushuru wowote.
Uingereza nayo imeungana na China kwa kuruhusu asilimia 99% ya bidhaa kutoka Tanzania ndani ya soko lao bila vikwazo Wala ushuru wowote.
Hii ndio maana na matokeo ya ziara za Mh. Rais Kuifungua nchi Kwa Diplomasia ya Uchumi.
Ikumbukwe Soko la nyama la Saudia tayari, Soko la Oman tayari, Soko la America tayari na maeneo mengine..
Hizi ni fursa mbalimbali mh.Rais anawatengenezea Vijana na Jumuiya ya Wafanyabiashara waweze kujiajiri.Msije kuanza tena kuleta visingizio visivyo na maana.
Mnaweza linganisha aliyesema hasafiri anenda Kijijini kusalimia bibi zake na anayesafiri anawafungulia Dunia nani kwenu mnaemtaka? Jibu analo kila mmja.
Kazi iendelee 👇

Attachments
-
Screenshot_20220817-170328.png52.6 KB · Views: 6 -
Screenshot_20220824-141856.png98.9 KB · Views: 3 -
Screenshot_20220824-141704.png165.2 KB · Views: 3 -
Screenshot_20220824-142159.png78.5 KB · Views: 2 -
Screenshot_20220823-174831.png105.3 KB · Views: 2 -
Screenshot_20220823-174852.png48.7 KB · Views: 2