Matokeo ya Kuifungua Nchi na Diplomasia ya Uchumi: Uingereza yafuata China kuruhusu bidhaa za Tanzania kwenye soko lake

Matokeo ya Kuifungua Nchi na Diplomasia ya Uchumi: Uingereza yafuata China kuruhusu bidhaa za Tanzania kwenye soko lake

Kwa nini zikwapuliwe? Muwekezaji anakwapua kuzipeleka Saudia au?..

Ukisikia Mwekezaji unajua anawekeza angani au?
Brainy Governments huwa zinaprotect kwa nguvu zote zile fursa indigenous wanazoweza kumudu .we expect serikali ivutie high tech investments huku ikiwawezesha watu wake kukamata fursa .najua hapa utakuja na nyarubanja ya wizara ,so kilimo wanachoanzisha ni mbaazi na mahindi ?
 
Ndivyo inafanya hata sasa,huyo Mwekezaji atalima na atajenga kiwanda kwa ajili ya kutoa soko Kwa wenyeji for exports..

Rungwe kuna Mwekezaji wa dizaini hii,analima na amejenga kiwanda na Mwendazake aliwahi kukizindua.
 
Anyway lakini viwanda hatuna ya kushinda nao sokoni
Havitakuja kama mvua ila kwa kupewa access ya soko ndio itakuwa catalyst ya kujenga Viwanda..

Ndivyo Textiles industry ya Ethiopia na sekta ya viwanda ya Kenya ilinufaika na AGOA ya Marekani.
 
Ndivyo inafanya hata sasa,huyo Mwekezaji atalima na atajenga kiwanda kwa ajili ya kutoa soko Kwa wenyeji for exports..

Rungwe kuna Mwekezaji wa dizaini hii,analima na amejenga kiwanda na Mwendazake aliwahi kukizindua.
That's sound great , otherwise malighafi na products zitaondoka tubaki tunatoa macho.hii dunia isn't fair at all .binafsi huwa naumia tunapo act kama Mangungo wa msovero
 
Siujui uchumi ila nadhani ni fursa kuuza uingereza kwa sasa kukiwa na.mfumko wa bei kwani inflation imegonga two digits, experience ya 40 yrs na mainly vyakula ambavyo tunavimudu
 
Sina uhakika kama bado lipo ila few years back London kulikuwa na soko la mboga mboga toka East Africa ,walikuwa wanaboost any east african farmer ,people can research more kupata pa kuanzia
 
Mwanzo mzuri. tuanze kuexport na sample, kadri tunavyoendelea, tutacomply na viwango watakavyo. Hakuna wakati mzuri wa kupita mlangoni kuliko muda unapofunguka. Wizara husika na wadau wengine mfano chamber of commerce n.k ni muda wa kuwahabarisha exporters na kuwarahisishia upattikanaji wa passport ya bidhaa (Certificate of Origin) na mahitaji mengine.
 
Rais Samia anajitahidi sana kufungua nchi yetu kwa kupeleka bidhaa nje ni hatua kubwa sana kibiashara na uchumi wa Tanzania utakua zaidi
 
Back
Top Bottom