Escrowseal1
JF-Expert Member
- Dec 17, 2014
- 4,618
- 4,605
Brainy Governments huwa zinaprotect kwa nguvu zote zile fursa indigenous wanazoweza kumudu .we expect serikali ivutie high tech investments huku ikiwawezesha watu wake kukamata fursa .najua hapa utakuja na nyarubanja ya wizara ,so kilimo wanachoanzisha ni mbaazi na mahindi ?Kwa nini zikwapuliwe? Muwekezaji anakwapua kuzipeleka Saudia au?..
Ukisikia Mwekezaji unajua anawekeza angani au?
Anyway lakini viwanda hatuna ya kushinda nao sokoniNyingi Sana hususani bidhaa za kilimo,mifugo,Uvuvi,misitu na hata bidhaa za Wiwanda maana hata sasa tunauza..
Malighafi?Nyingi Sana hususani bidhaa za kilimo,mifugo,Uvuvi,misitu na hata bidhaa za Wiwanda maana hata sasa tunauza..
Constitution Reform inafanyika lini?
Ndivyo inafanya hata sasa,huyo Mwekezaji atalima na atajenga kiwanda kwa ajili ya kutoa soko Kwa wenyeji for exports..Brainy Governments huwa zinaprotect kwa nguvu zote zile fursa indigenous wanazoweza kumudu .we expect serikali ivutie high tech investments huku ikiwawezesha watu wake kukamata fursa .najua hapa utakuja na nyarubanja ya wizara ,so kilimo wanachoanzisha ni mbaazi na mahindi ?
Unaelewa unachoongea kweli?Malighafi?
😏
Mimi kama mwananchi ninawaza hivyo , Ili kubalance power .Ili iweje Kuna watu serikalini wanawaza hiyo kitu
Wewe unaelewa zaidi mkuu nielewshe ninachoongea .Unaelewa unachoongea kweli?
Hongera. kiukweli siyo serikali yetuMimi kama mwananchi ninawaza hivyo , Ili kubalance power .
Yasijetukia kama yale .
Havitakuja kama mvua ila kwa kupewa access ya soko ndio itakuwa catalyst ya kujenga Viwanda..Anyway lakini viwanda hatuna ya kushinda nao sokoni
Kwa hiyo Tanzania hatuna malighafi ya nilochoandika?Wewe unaelewa zaidi mkuu nielewshe ninachoongea .
Ni sikuiweka Argument yangu vizuri , nauliza Tunapeleka finished goods au Raw materials?Kwa hiyo Tanzania hatuna malighafi ya nilochoandika?
Vyovyote vile zimeruhusiwa..Ni sikuiweka Argument yangu vizuri , nauliza Tunapeleka finished goods au Raw materials?
That's sound great , otherwise malighafi na products zitaondoka tubaki tunatoa macho.hii dunia isn't fair at all .binafsi huwa naumia tunapo act kama Mangungo wa msoveroNdivyo inafanya hata sasa,huyo Mwekezaji atalima na atajenga kiwanda kwa ajili ya kutoa soko Kwa wenyeji for exports..
Rungwe kuna Mwekezaji wa dizaini hii,analima na amejenga kiwanda na Mwendazake aliwahi kukizindua.
Ni fursa hiyo tuichangamkieVyovyote vile zimeruhusiwa..
Ukioeleka finished goods ni vyema zaidi