Kenge (Eng)
JF-Expert Member
- Dec 7, 2006
- 543
- 160
Vipi Ole Sendeka yupo au nje?
Jamani taarifa toka Msimba pale makao makuu ya klabu ya Simba zinasema Rage kashinda kura za maoni Tabora Mjini....!!!
Mh hiyo ni wazi kesi itafutwa na kuna uwezekano mkubwa wa Chadema kuchukua jimboyesuuuuuuuuuuuuuuu na mariaaaaaaaa na yosepf mtakatifu yaniiiiiiii bado unaamini kuna kesi paleapawomi
Taarifa za muda huo nimezipata hapa Shigongo kashindwa vibaya sana na Dr. Tizeba
Ila habari kamili ni tarehe 14 ,so hapo ndipo nitakaposema Mengi zaidi..
Ole sendeka, EL, wote ndani (walau kwa sasa)
Hivi January Makamba na Shellukindo vp huko Bumbuli?
Jimbo la NKENGE la Mh. Kamala (WAZIRI WA AFRIKA MASHARIKI) kipenzi cha JK kama alivyokuwa anajinadi wakati wa kampeni kura za maoni, waziri bora wa nchi tano na mwaminifu ndio maana akapewa wizara hile. CHALIIIIIIII.
Matokeo kamili
1. Mama Asumpta - 9,055
2. Mh. Deodatus Kamala - 6,184
3. Balyagati - 4,123
4. Rugemalira - 771
5. Mwalimu Katalama - 410
6. Sheikh Ismail - 239.
7. Kajuna - 146.
Total votes:- 20, 928.
Habari ndio hiyo.
Hivi January Makamba na Shellukindo vp huko Bumbuli?
Mkuu inabidi uelewe kuwa CCM huwa ina sura mbili....on the surface and underneath....hiyo ya kwanza ndio Mwenyekiti na katibu...hiyo nyingine ndio inayoleta mizengwe...Nyerere mwenyewe ilimbana 1985 na 1995 kwa Salim huyohuyo.....sitashangaa Mkapa kukutwa na hilo..BTW yeye ndio alikuwa mtu wa mwisho nadhani kuongea na Nyerere...pengine alimwambia amsimamishe Salim 2005 na sio Kikwete...kukosekana Mangula au mtu wa aina yake ndio kunayumbisha CCM kwa sasa...Makamba?...kandambili kwa kiatu....
Hili jimbo la Moshi Mjini inaonekana ccm hawalifahamu vizuri.Toka baada ya Mwidin Kimario wamekuwa wanasimamisha watu ambao hawauziki.Captain Ibrahim alikuwa aishi Moshi na alikuwa sio mtu wa watu,Mama Minde walimsimamisha mara mbili pia alikuwa sio mtu wa watu.Salakana kachukua mjini, lakini Mzee Ndesa Pesa will have him for breakfast
Salakana kachukua mjini, lakini Mzee Ndesa Pesa will have him for breakfast
Mgombea tiketi ya Ubunge kupitia CCM jimbo la Kawe, Kippi Warioba amempita mgombea wa pili Angela Kizigah kwa kura 700. Fisadi Adamjee kaangukia pua! Eric Suma nae chali!