Elections 2010 MATOKEO ya kura za awali CCM August 1, 2010

Elections 2010 MATOKEO ya kura za awali CCM August 1, 2010

Jimbo la NKENGE la Mh. Kamala (WAZIRI WA AFRIKA MASHARIKI) kipenzi cha JK kama alivyokuwa anajinadi wakati wa kampeni kura za maoni, waziri bora wa nchi tano na mwaminifu ndio maana akapewa wizara hile. CHALIIIIIIII.

Matokeo kamili

1. Mama Asumpta - 9,055
2. Mh. Deodatus Kamala - 6,184
3. Balyagati - 4,123
4. Rugemalira - 771
5. Mwalimu Katalama - 410
6. Sheikh Ismail - 239.
7. Kajuna - 146.

Total votes:- 20, 928.

Habari ndio hiyo.
 
So Philip Marmo na Kamala wamedondoka officially (walau kwa sasa) huku mchinga kuna mpya anayeongoza na Mudhihir ana hali mbaya...
 
Jamani taarifa toka Msimba pale makao makuu ya klabu ya Simba zinasema Rage kashinda kura za maoni Tabora Mjini....!!!
 
Jamani taarifa toka Msimba pale makao makuu ya klabu ya Simba zinasema Rage kashinda kura za maoni Tabora Mjini....!!!


Mkuu kwake hiyo ni kawaida ila kasheshe KK jina litarudi? hivi si ana criminal record au ali-ilcear?
 
Taarifa za muda huo nimezipata hapa Shigongo kashindwa vibaya sana na Dr. Tizeba


Ila habari kamili ni tarehe 14 ,so hapo ndipo nitakaposema Mengi zaidi..

Shigongo alijitahidi sana kutumia media yake ya udaku lakini wapi wananchi wamemwambia hawadanganyiki.
 
In Mbeya- urban district in Isanga ward Thomas Mwang’onda was leading by 106 votes followed by Benson Mpesya with 89 votes. Others were Frank Mwaisunde who got 8 votes and, Ujiri Kisonga 2 votes, and Frank Mwaitende 1.
In Kyela district Harrisson Mwakyembe was leading in four voting centres of Kalakala, Ndombelode, Igunga and Banyakipesile with 332 votes, followed by Elias Mwanjala with 14 votes.
In Rungwe at Segera voting centre Prof David Mwakyusa was leading by 77 votes followed by Frank Magomba 13 and Richard Kasesela 5 votes.
 
Hapo Karagwe wameliwa tena upinzani wanajichukulia jimbo kiulainiiiii...Huyo Blandes feki Katagila fisadi.....Kajipa kibali cha kusafirisha ngombe toka Karagwe Exclusively na Afisa Mifugo hatoi kibali kwa mtu yoyote ila Kategile kweli nchi hii ya wateule wachache...
 
Hivi Kippi amefanya nini na anamjua nani na ameishi lini Kawe?
 
Jimbo la NKENGE la Mh. Kamala (WAZIRI WA AFRIKA MASHARIKI) kipenzi cha JK kama alivyokuwa anajinadi wakati wa kampeni kura za maoni, waziri bora wa nchi tano na mwaminifu ndio maana akapewa wizara hile. CHALIIIIIIII.

Matokeo kamili

1. Mama Asumpta - 9,055
2. Mh. Deodatus Kamala - 6,184
3. Balyagati - 4,123
4. Rugemalira - 771
5. Mwalimu Katalama - 410
6. Sheikh Ismail - 239.
7. Kajuna - 146.

Total votes:- 20, 928.

Habari ndio hiyo.

Eng Kenge huko kwenye nyekundu nimecheka mpaka basi. Asante sana
 
Hivi January Makamba na Shellukindo vp huko Bumbuli?


Huko mkulu January kambwaga mzee shelukindo......sijajua kumba jamaa ana nguvu namna ile ama kuna mahali zimetoka?
 
Mkuu inabidi uelewe kuwa CCM huwa ina sura mbili....on the surface and underneath....hiyo ya kwanza ndio Mwenyekiti na katibu...hiyo nyingine ndio inayoleta mizengwe...Nyerere mwenyewe ilimbana 1985 na 1995 kwa Salim huyohuyo.....sitashangaa Mkapa kukutwa na hilo..BTW yeye ndio alikuwa mtu wa mwisho nadhani kuongea na Nyerere...pengine alimwambia amsimamishe Salim 2005 na sio Kikwete...kukosekana Mangula au mtu wa aina yake ndio kunayumbisha CCM kwa sasa...Makamba?...kandambili kwa kiatu....

Jamani huu mjadala mbona hauendani na Thread. Mnaonaje mkaupeleka katika thread yake ama kuanzisha mpya?
 
Salakana kachukua mjini, lakini Mzee Ndesa Pesa will have him for breakfast
Hili jimbo la Moshi Mjini inaonekana ccm hawalifahamu vizuri.Toka baada ya Mwidin Kimario wamekuwa wanasimamisha watu ambao hawauziki.Captain Ibrahim alikuwa aishi Moshi na alikuwa sio mtu wa watu,Mama Minde walimsimamisha mara mbili pia alikuwa sio mtu wa watu.

Nakumbuka Peter Kisumo aliwa kusema kwamba ccm wakimsimamisha Aggrey Marealle hawatashinda Ndio alikuwa anamtaka huyu Salakana?
 
Hata huko Mara habari ni kwamba Vedastus Mathayo amefanikiwa kitetea kiti chake kwa kushinda kura za maoni
 
Back
Top Bottom