Wilayani Temeke, Zaina Malongo anaripoti kuwa kwenye Tawi la Wailes, mgombea anayetetea nafasi Abass Mtemvu amepata kura 142, Salim Chicago kura 43, Tambwe Hiza kura 42, Ngulangwa 12, Manji 6, Kusaga 5, Lukwembe kura mbili na Nyalali alipata kura mbili huku Nondo na Meja Jamson wakipata kura moja moja. Kata ya Mtoni, Chikago 182, Tambwe 109, Ngulangwa 89, Mtemvu 75, Kusaga 69, Nondo 50, Manji 29, Meja Jamson 10 na Lukwembe tano. HEEE HEEEE HILI PEPO LA UCHAGUZI BADO LINAMWANDAMA TAMBWE HIZA ACHOKI ANAFIKIRI KUINGIA BUNGEN NI RAHISI HIVYO ATAJUTA KUHAMA CUF PENGINE ANGEUKARIBIA