Elections 2010 MATOKEO ya kura za awali CCM August 1, 2010

Elections 2010 MATOKEO ya kura za awali CCM August 1, 2010

hivi hawa jamaa CCM wana akili kweli??Kuna habari uteuzi wa kweli unakuja wa mavikao vyao ya ajabu sasa hii kupoteza pesa na kutiana aibu ya nini jamaniWapendwa mwenye matokeo ya MEYA LONDA..KAGOMBANIA UBUNGE KWINGINE UDIWANI KAWE sijui kapata wapi\huyu hata urais angeruhusiwa angegombea vyote mwenye matokeo jamani
 
Eng Kenge huko kwenye nyekundu nimecheka mpaka basi. Asante sana

mkuu tusicheke sana huzuni na kilio ama kucheka bado vinakuja hii ni trella tu picha yenyewe utaifurahia na kujua nini maana ya CCMKidumu chama
 
Hapo kwenye red umesema. Ila Mkulu atmchagua katika viti 10 vya upendeleo..........

viti kumi vya upendeleo vinategemea na ushindi watakaoupata CCM, lakini vinginevyo...
 
Wilayani Temeke, Zaina Malongo anaripoti kuwa kwenye Tawi la Wailes, mgombea anayetetea nafasi Abass Mtemvu amepata kura 142, Salim Chicago kura 43, Tambwe Hiza kura 42, Ngulangwa 12, Manji 6, Kusaga 5, Lukwembe kura mbili na Nyalali alipata kura mbili huku Nondo na Meja Jamson wakipata kura moja moja. Kata ya Mtoni, Chikago 182, Tambwe 109, Ngulangwa 89, Mtemvu 75, Kusaga 69, Nondo 50, Manji 29, Meja Jamson 10 na Lukwembe tano. HEEE HEEEE HILI PEPO LA UCHAGUZI BADO LINAMWANDAMA TAMBWE HIZA ACHOKI ANAFIKIRI KUINGIA BUNGEN NI RAHISI HIVYO ATAJUTA KUHAMA CUF PENGINE ANGEUKARIBIA
 
Mramba tena..? :shock:
Mramba baada ya Kushindwa na marehemu Ngalai na baadae Salakana alijifunza makosa aliyokuwa anafanya-Kuoneka Rombo wa wakati wa Christmas na uchaguzi na kuwa karibu na matajiri na kutharau wananchi wa kawaida. Sasa hivi mwendo mdundo.
 
Njowepo leta na matokeo ya Ileje-Mbeya. mabona huko hamkuzungumzii nyie waleta habari za mbeya?
 
nani kakwambia hapo ni mwanzo kuna vikao vya kupaka na kupakua wasubiri humo hiyo ndio ccm sasa sijui kura za nini??

Sawa lakini kama umefuatilia wadau, NEC huwa wanabadilisha kama wale walioshinda hawana mshiko au kwa maslahi binafsi. Hao jamaa wa Karagwe ninavyowahafamu hakuna uwezekano wowote wa matokeo kubadilishwa (nina uhakika wa karibia 100%). Labda tusubiri kama wapinzani wataweza kuchanga karata zao vizuri (rejea makala ya Fr Karugendo kwenye Raia Mwema ya week juzi)
 
Tafadhali anayejua matokeo ya kura za maoni CCM Dodoma Mjini tunayaoomba
 
Malaria......
Nimesikia fununu kwamba Maalim Haroun Ali Suleiman amebwagwa huko Makunduchi,,naomba nithibitishie
 
Jamani wenye matokeo ya mh meya wetu londa uapnde was udiwani na ubunge ye aliamua kuua ndege wawili kwa wakati mmoja kwas sehemu tofauti tupen matokeo
 
malaria......
Nimesikia fununu kwamba maalim haroun ali suleiman amebwagwa huko makunduchi,,naomba nithibitishie

kwi kwi kwi umenikumbusha jamanimasauni wetu wamemwachia ama jinamizi limeenedelea kumngangania...na yule figo/aah moyo nae tunaomba taarifa jamani wenzetu wa mto pepo na kwingineko
 
Hivi Benson Mwang'onda, aka Kibaraka vipi?
Akiangushwa nitajua Kweli Mbeya hawachezewi .......
 





There are currently 413 users browsing this thread. (83 members and 330 guests)

Kweli watu wana kiu ya haki, nadhani hapo kwenye guests hatuwezi kuwakosa wakina Mwakalinga, Afande Samweli, Malaria Sugu n.k
 
Huyu jamaa uwa analeta utani kwenye mambo ya msingi,ana stahili kupigwa chini.
 
Akipigwa chini atajifunza kuwa serious in sensitive matters
 
Habari nilizozipata punde toka Rungwe ni kwamba hali ya hewa inamwendea kombo Prof.imepelekea mpaka mida hii matokea ya kata 2 kutotangazwa kati ya kata 26.
chanzo kinaainisha kwamba mpaka muda huu R anaongoza katika kata 24,hizo mbili mojawapo ndo home kwa prof ndo zinaleta mshawasha wote wakutotoa matokeo.

habari zitawajia kadiri zitakavyo kuwa zinanifikia.
 
Back
Top Bottom