Entareyehirungu
JF-Expert Member
- Oct 27, 2006
- 488
- 471
Ndo alianzisha kuita wenzake vuvuzela utadhani kondakta wa daladala. na mara ya mwisho nimemsikia akichangia mjadala wa sheria utadhani anasoma mashairi. OUT!
Sijui kama Mungu atasikia ombi langu la kumuondoa Sita? Ndo kundi linalopigania maisha bora ya wabunge badala ya wananchi. Akipita basi, lakini nitamuombea Lowasa achukuwe kiti cha spika.

Nasikia Rostam kapita khaaaaaaaaaaaaaaaaaa,ivi waliompigia wanamjua?Au kulikuwa na mapandizi?
Naona nabii amekubalika kwao,uchelewi kukuta ata Chenge kapita
Vipi matokeo ya jimbo la Mwibara, Mh Kajege na Tabora vijini Mh Msekela wamepumua? Ingawaje nyepesi nyepesi wanadai Msekela ambaye ni RC Dodoma alikuwa anapumlia kwenye mashine.
Mwakalebela Iringa,na Kandoro Kalenga
Lakini inawezekana ni hapa JF tu ndio undani wa watu kama Shigongo unajulikana.You are joking about Shigongo right? Hivi nani anampigia kura mtu kama Shigongo?
Usishangae tena kuwa atakuwa waziri. Tena akapewa wizara nyeti, kila mtu anajua kuwa ana kesi, katika hali ya kawaida hakutakiwa kugombea. kama Chadema watakuwa makini, ni vizuri wamwache tu ateuliwe kugombea kwa tkt ya CCM, kwenye kinyang'anyiro cha ubunge anawekewa pingamizi la maana tu.Mramba tena..? :shock:
he!!!! si nilisikia kwamba kawe wamebatili matokeo?
Kippi kachukua
@Lembe Kippi hawezi kuitwa fisadi kwa sababu siyo fisadi, kama hamjui Kippi basi omba wadau wakueleze...jamaa ni mpiganaji mwenye msimamo...ndiyo maana wanamtandao hawakumbeba, unlike some of the sponsored wgombea!
Hivi Kippi amefanya nini na anamjua nani na ameishi lini Kawe?