Junius, huo mwafaka III kati ya Karume na Seif (na sio Wazenj wote kama unavyodai) umekusahaulisha kuwa CUF imetuhumiwa mara kwa mara kwa Ugaidi na hata nchi za Magharibi hazina appetite kabisa na CUF and whatever happens Wa-Magharibi watasema "Uchaguzi ulikuwa huru na wa haki?" Toa kichwa chako kwenye mchanga wa u-CUF, usikifiche kama mbuni na kuona ukweli! Na kama unabisha CUF endeleeni na lugha za "ngangari", "damu itamwagika CUF ikishindwa", "jino kwa jino", "moto utawaka", nk kama mtaendelea kuwa "Chama KIKUU cha Upinzani!"