Matokeo ya mchujo TAKUKURU: Let's be honest with each other

Nitafatilia kijana ,
Pole sana.
 
Usiwalaumu watoto wa vigogo mlaumu baba ako kwanini hakuwa kigogo?
 
inasktsha sna hawapo list ya written (officers) but wapo kwnye oral

View attachment 2120480
Hongereni Takukuru kwa mchujo wenu.Mmekaa muda wote na pdf kumbe mnaona aibu jinsi ya kulitoa sababu ya watu wenu mliopachika washenz nyie.Na hawa ndio wenye nafasi za kazi wao walikuwa home wanaperuzi kwenye simu wkt wengine wanapoteza nauli kwenda Dodoma.Mkuu kwa haraka haraka nimeona majina saba humo hapo ni kwa kuangalia juujuu alf kumbuka kuna majina yalijirudia kwenye pdf utagundua nafasi zilikuwa na watu kabla ya usaili
 
Tuachane na lile swala la baadhi ya majina kujirudia zaidi ya mara moja, hivi, how can we measure the transparency of the process?
 
Nakuelewa sana mkuu. Uovu upo, upo sana na upo sehemu nyingi sana. Nimezungumzia huyu dogo kwamba yuko vizuri kwa sababu niko naye nafanya naye kazi. Kwamba wapo wazuri kumzidi yeye hao siwajui maana sijafanya nao kazi so siwezi kuwazungumzia
 
Hatuwezi tukawa tunafanya mizaha katika maswala haya kila Mtanzania mwenyesifa ya kuitumikia nchi yake katika nafasi mbalimbali provided amefata taratibu basi naaitumikie nchi sio mizahamizaha hii halafu tunatazama tuu
 
Na ukiwaambia watu ooh mara watu walivyowengi msingepita wote mara sjui nini humo sio hao tu nimeona kama saba yamechomekwa.Na ndio sababu pdf ilitoka na majina bila namba wala maksi
Ukiona mtu anatoa majibu hayo ujue upo walakini
 
Aptitude test karibia zote wanandika number sioni haja ya kulalamika,

Pili kutotoa no na kuleta majina kama ni mtu ulie soma excel ni kazi ya dk tuu wala hutoki jasho ya matakoni.

Ajira kama hizi ni kutoa matangazo ya kuleta lawama bora wangekuwa wanajiliwa kimia kimia mtoto wa fulani na fulani sijui msaafu fulani rahisi tu.
 
[emoji706]
 
Mbona nchi ina watu wa ovyo kama wewe ,hoja kuu ni kwamba kwanini mtu akuwepo kwenye written lakini jina limetoka kwenye oral ?
 
Tuwe tu wakweli, hata ingekua wewe uko pale takukuru ungeweza mpa mtu mwingine nafasi wakati mdogo wako hana kazi?

Hata hivyo kama huyo mtu ana milion 4 aitumie kufanya mishe nyingine.

Dunia haiko fair.
Unaona nyingi hio million 4?

Ukiingizwa kwenye payroll ya 1.3M with increments na michongo itakayodumu kwa lifetime kuna mda gani hio pesa itakuwa isharudi? Maisha ni magumu mtaani aisee!

Maisha ya kubangaiza sio kabisa yani ndio mwisho unakuja kuwa baba ambaye hueleweki hata kuendesha familia ni mtihani. Msilete dharau hata mie ningekuwa na hela ya kuhonga hio kazi ningelipa niipate tu!

Kazi zinanunuliwa siku nyingi tu mbona .Sema sahizi mambo yamezidi kuwa tight ndio maana taarifa zina leak. Zile zama za sijui una mjomba ataandika kamemo hakuna sahizi ni pesa tu inaongea.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu umecheka sana😅 kazi ya kupambana na rushwa inapatikana kwa njia ya rushwa😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…