Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Nashauri uchunguzi ufanyike kuhusu hii mechi kwani staki kuamini kuwa iliocheza ndio Yanga hii ya sasa. Timu kubwa kufungwa na timu ndogo, sio jambo la ajabu kwani mpira ni mchezo wa makosa na hivyo mkubwa ukifanya kosa, basi unaweza adhibiwa na ukapoteza mchezo.
Kwa mechi ya leo, ukiacha upangaji wa kikosi na uchezaji wa mchezaji mmoj mmoja wa Yanga, makosa yaliyotugharimu ni ya kibinadamu au kuna something else? Pia, Yanga hii ndio ya kupoteza pasi kama tulivyoona leo hii/
Mimi sio mtalaamu wa mpira, ila leo kuna kitu nadhani hakikuwa sawa hasa kutokana na namna wachezaji wa Yanga walivyocheza kwani hata kujituma kwao kwa leo sio, kama ule wa siku zote.
Hata hivyo, inawezekana pia Yanga kuanzia Kocha Mkuu mpaka wachezaji, walidharau hii mechi na matokeo yake wakapoteza, ila hii itakuwa na faida kwa mechi zijazo kwani watakuwa wamejifunza kutokudharau timu yoyote.