Matokeo ya Simba na Coastal Union kesho Juni 9, 2023

Wakili wa shetani

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2022
Posts
1,726
Reaction score
3,391
Kesho Coastal Union anahitaji kushinda ili aepuke kucheza playoff. Simba anahitaji sana mshambuliaji wake Ntibazonkiza awe mfungaji bora wa ligi.

Basi matokeo ya kesho Coastal anashinda lakini Ntibazonkiza anafunga si chini ya goli mbili. Kwa hiyo matokeo ya kesho Coastal anashinda 3-2.
 
Nilikua uwanjani leo jioni tunapiga story na washikaji kuna jamaa ametabiri matokeo kama haya uliyoyaweka
 
wamepanga coastal atashinda 4-3 na hizo tatu atafunga ntibantuganya
 
Juzi nilisikia mtangazaji anasema anadhani kuna darasa la huruma ambalo Simba hawakuhudhuria. Utashangaa Coastal wanatandikwa vibaya sana wakapambane na hali yao.

Msimu huu mzima Saidoo na Simba wamepata takwimu zao kwa juhudi, wamalizi hivyo hivyo ili upande wa pili wasipate cha kusema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…