Matokeo ya Stars Kocha katuchomesha

Eeeeh hili tatizo ni kweli nililiona. Kila mchezaji akipata mpira anakimbia nao hadi anapokonywa.
 
Kosa kubwa nilile lakuwaita Kapombe na Tshabalala.
 
Washabiki wa utopolo ni nuksi katika taifa hili maana hawana akili
 
Mechi ya mwisho Stars wanacheza na Niger taifa na Uganda wanacheza na Algeria points tumelingana what if tukamfunga Niger na Uganda akapigwa na Algeria?
 
Mimi binafsi siamini kocha mgeni kufundisha national team yaani siamini hata kidogo bongo siasa nyingi sana.
 
Angalau Mgunda pep mnene na yule jamaa wa Kagera sugar wangepewa hii timu maana mzee mpili alitukatalia Nabbi wake akasema twende Google. Google yenyewe ndo kama mnavyoona. Haijatusaidia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…