Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Eeeeh hili tatizo ni kweli nililiona. Kila mchezaji akipata mpira anakimbia nao hadi anapokonywa.Kwa forward ile ambayo kila aliyekuwa akipata mpira anaangalia chini na kuanza kukimbia na mpira bila kuangalia wenzake, tusingepata ushindi hata tungeendelea kucheza mpaka asubuhi hii.
Mechi zote mbili tulicheza kwa kukamia ila bila mbinu ya maana ya ushindi. Pia ingetusaidia zaidi kuwapunguzia pressure wachezaji kwa kuicheza mechi kule kule Misri.
Tena angejifunga kabisa sijui alikwama wapiDickson job ndo amechoma
Nuksi mbili zilitemwa tukashinda awayWashabiki wa utopolo ni nuksi katika taifa hili maana hawana akiliView attachment 2569714
kitendo cha kocha kuita wachezaji kwa matakwa ya wapiga kelele za ushabiki wa simba, nikaona pia atakuja kupangiwa kikosi na ndicho kilichotokea. Poor taifa stars.