Nashukuru Mungu nimechomoka na nimemalizana nao.
Electronics and Telecommunication Engineering (ETE).
Nashukuru Mungu nimechomoka na nimemalizana nao. Electronics and Telecommunication Engineering (ETE).[/QU. Hapo kwenu Tele perfomance imekuaje toa takwimu tuone pia
Bado mtaani sasa! ukichomoka na hiyo utakuwa kweli wewe kidume.
Hapo kwenu Tele perfomance imekuaje toa takwimu tuone pia
Bado mtaani sasa! ukichomoka na hiyo utakuwa kweli wewe kidume.
Next time kama huna cha maana usini-Quote.
Sihitaji hongera yako.
Kaa mbali na mimi. Utanitafutia ban bure.
Matokeo ya mitihani kwa supplementary ya Dar es salaam istitute of technology yametoka jana tarehe 17, kwa idara zote matokeo yamekua mabaya sana maana kwa diploma wengi wanarudia mwaka "retake" na discontinued. Wale wa shahada ya uhandisi wengi wamecarry na discontinued nyingi pia. Mfano diploma ya computer engineering first year, pass ni 60, retake 8, abscond 16, disco 18 hapo walianza pamoja ni 102. Information technology pass 26, retake 3, abscond 20, disco 14, kutoka 63.Karibuni kwa maoni
Hivi bado ile lugha ya "JUCHE" inatumika hapo DIT?. Ha ha ha...Chuo langu hilo bana!.
Hivi bado ile lugha ya "JUCHE" inatumika hapo DIT?. Ha ha ha...Chuo langu hilo bana!.
Matokeo ya mitihani kwa supplementary ya Dar es salaam istitute of technology yametoka jana tarehe 17, kwa idara zote matokeo yamekua mabaya sana maana kwa diploma wengi wanarudia mwaka "retake" na discontinued.
Wale wa shahada ya uhandisi wengi wamecarry na discontinued nyingi pia. Mfano diploma ya computer engineering first year, pass ni 60, retake 8, abscond 16, disco 18 hapo walianza pamoja ni 102. Information technology pass 26, retake 3, abscond 20, disco 14, kutoka 63.Karibuni kwa maoni

Enzi zipi hizo mkuu, za Mutasa, Chande au Msoma?. Enzi za kufunga motor kule mahala?. Ha ha haaa!.Dot com bhana, sijui kama wangekuwepo enzi za ADE na FTC kama wangetoka!!!
Muda Mwingi Mnazurura Tu Barabarani Na Mnajifanya Wanaharakati Na Tunagongana Sana ktk Nyumba Za Kulala Wageni MKIGEGEDANA Je Mtafaulu Vipi Na Huwa Mnasoma Saa Ngapi? Hizo Kozi Zenu Zinataka Umakini Mkubwa Sana Na Siyo UPOPOMA.