Matokeo ya uchaguzi CCM chipukizi: Mtoto wa msanii Shetta na Mwigulu Nchemba wang'ara

Matokeo ya uchaguzi CCM chipukizi: Mtoto wa msanii Shetta na Mwigulu Nchemba wang'ara

Duh ndipo akili za wabongo zilipoishia,wanapambana wee kuiba mali za umma kusomesha watoto wao shule nzuri mwisho wa siku wanawarudisha nao waendeleze harakati zao za kisiasa badala ya kuwapeleka kimataifa
 
Maandalizi ya kuja kusema "Tulikipigania chama" miaka 20 ijayo hawa ndio watakuwa wakuu wa wilaya na mawaziri wakati baba zao ni baraza la wazee wa CCM. Siasa chini ya CCM inalipa sana. Wakati raia wanateseka na ajira hawa watoto washaandaliwa ajira hapo kupitia siasa.
Technical ndo chama kinakufa taratibu hvo...hamna idea mpya humo
 
Maandalizi ya kuja kusema "Tulikipigania chama" miaka 20 ijayo hawa ndio watakuwa wakuu wa wilaya na mawaziri wakati baba zao ni baraza la wazee wa CCM. Siasa chini ya CCM inalipa sana. Wakati raia wanateseka na ajira hawa watoto washaandaliwa ajira hapo kupitia siasa.

Mkuu ya Maulana mengi uezi jua labda 2025 hao kijani cha inzi wa choo cha shule
 
CCM Watolewe madarakani na nani?, au CCM itoke halafu aje nani? kwasababu Tanzania hatuna upinzani makini!. Hiki Chuma kilipoingia tuu, tukawauliza watu humu Je, Kasi ya Magufuli itaua Upinzani Uchwara na Kuimarisha Upinzani Makini? - Prof. Kitila Mkumbo kisha tukawauliza tena Upinzani wa Tanzania ni Upinzani Makini wa Kweli, au ni Upinzani Uchwala?. Kasi ya JPM Itaua Upinzani Uchwala na Kuibua Upinzani Makini wa Kweli Au..? jibu likawa ni Tanzania hatuna upinzani wowote makini na wa maana wa kuing'oa CCM, hivyo tukawaeleza watu ukweli halisi wa kitu kilichopo ni CCM only and only CCM hivyo Kupata maendeleo ya kweli, Watanzania ni lazima tujifunze kuukubali ukweli!. Hili la CCM kutawala milele ni kweli!. kwasababu CCM sio tu ni chama tawala, bali pia ni chama Dola! na kufuatia members wengi humu wamejiunga juzi juzi, angalieni hili la CCM kutawala milele, tumeanza kulizungumza lini Watch TBC Live!. " William Malecela na Ndoto ya CCM Kutawala Miaka 50!. na Wenye Matumaini na Upinzani Kushika Dola! Sahauni! CCM Inajiandaa Kuua Kabisa na Kuuzika Jumla Chuma kilipoingia utekelezaji wa hili ulifanyika The Economist: Rais Magufuli ametangaza kufuta Upinzani ifikapo 2020 na kuirudisha Tanzania kuwa Nchi ya chama Kimoja watu walikuwa na mategemeo sana na Chadema, tukawaeleza ukweli kuwa Chadema hakuna kitu pale Je, CHADEMA inaweza kushinda 2020? Is it serious, credible & mature enough opposition?, kama vitu vidogo tuu kama Handling of Serious Security Issues: Kama CHADEMA Takes Things For Granted Kwa Uzembe Hivi!, Jee Ikulu Yetu Wangeiweza?.

Ila pia msikate tamaa kabisa, uchaguzi Mkuu wa 2030 bado kuna fursa Uchaguzi mkuu wa mwaka 2030, ndio mwanzo wa mwisho wa CCM! Wajinga karibu wote watakuwa wamemalizika!
P
Wakati Magufuli anatumia dola kuiua CHADEMA ilikua ni kwa sababu gani kama sio chama cha upinzani makini? Huwezi kutoa hoja ya kukosekana chama cha upinzani makini wakati chama tawala kinatumia nguvu za dola kujilinda madarakani. Chama cha upinzani makini kinatakiwa kiweje kama kinashindana na chama kinacholindwa na jeshi,polisi pamoja na secret service?
 
Kwanini akifa walimu wake wa vyuo vikuu sio wanaoshughulikia? Nakusudia kuna muislam yoyote alipelekwa ktk hall la chuo kikuu kuswaliwa? Au msikitini? Kama msikitini basi umuhimu wa ilmu akhera ilivyokuwa muhimu
Elimu ya dini NI yakipumbavu na kudumaza akili hii Elimu ya kijamii ndiyo muhimu mara 1000 kwa vijana wetu
E
 
Kwanini akifa walimu wake wa vyuo vikuu sio wanaoshughulikia? Nakusudia kuna muislam yoyote alipelekwa ktk hall la chuo kikuu kuswaliwa? Au msikitini? Kama msikitini basi umuhimu wa ilmu akhera ilivyokuwa muhimu
Elimu ya dini NI yakipumbavu na kudumaza akili hii Elimu ya kijamii ndiyo muhimu mara 1000 kwa vijana wetu
 
Watoto wangu hawawezi Kufanya mambo ya Siasa ni kuuwa vipaji vyao!
Mzee wangu aliniambia kamwe nisiingie kwenye siasa za ushindani (hasa CCM) maana kwanza kutakuwa na uwezekano wa kutokuiona mbingu, pili nitaua uwezo wangu wa kufikiri kimantiki na tatu nitaua vipaji vyangu vyote ambavyo ninavyo.

Nimebaki kuwa mwanasiasa wa nchi, maana kila mwananchi ni mwanasiasa.
 
Qayllah Nurdin Bilal, ambaye ni mtoto wa msanii wa Bongofleva, Shetta (Hutaniwa wamefanana na Kova), amechaguliwa kwa kishindo kuwa Mwenyekiti wa Chipukizi Taifa katika Chama cha Mapinduzi (CCM) leo Dodoma.Qayllah amepata kura 303 kati ya kura halali 429 zilizopigwa

View attachment 2848650



Isack Mwigulu Nchemba ambaye ni mtoto wa Waziri wa Fedha Dkt Mwigulu Nchemba is ametangazwa kuwa mshindi wa Ujumbe wa Baraza Kuu La UVCCM Taifa

View attachment 2848651
NIKOSA KUU KUINGIZA WATOTO KWENYE SIASA TENA NI KINYUME NA HAKI ...VIPI SERIKALI PUMBAVU YA CCM IMETAMBUA KUWA WATU WA UMRI WA CHINI YA MIAKA 18 WASISHIRIKI UCHAGUZI WALA KUPIGA KULA ILA INA RUHUSU SIASA KWA WATOTO WADOGO ...ILI JAMBO NI LAKIPUMBAVU HASWA NILITEGEMEA KUKEMEWA NA JAMII YOTE ILA TATIZO WATZ WENGI NI WAPUMBAVU NA VIPOFU ....TAIFA LINAKWENDA KUANGAMIA WAZI WAZI.
 
Nzuri sana. Lkn sisi waislam tusisahau kuwasimamia watoto mafunzo ya kiislam ili waweze kujitambua na kujielewa wao ni nani na kwanini wakaumbwa na baada ya kufa nini kitafata. Haya mengine ukifumba jicho tu hakuna tena msaada.
Kitu kizuri kumuachia mtoto ilmu ya dini yake.
LEO NI HAYO. AU NAKOSEA WADAU?
Unakosea sanaaaa, sio kila mahali pa kuleta siasa zako za dini, hapa wacha tuongelee siasa ya siasa za Bongo na CCM sio dini,
Dini tutaongelea msikitini au kwenye nyuzi za dini
 
Back
Top Bottom