johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Siasa siyo kipajiVipi kama wana vipaji vya siasa?
Kipaji sio lazima michezo na muziki
Mtu yoyote anaweza Kuwa Mwanasiasa hata wewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siasa siyo kipajiVipi kama wana vipaji vya siasa?
Kipaji sio lazima michezo na muziki
Uongozi ni kipaji,Siasa siyo kipaji
Mtu yoyote anaweza Kuwa Mwanasiasa hata wewe
Wacha tufanye bidii tuwafanye wakwetu waingie shule nakujikita katika sayansi na tekinolojiaCCM kutolewa madarakani ni kazi sana mkuu, jamaa wana mipango miaka 30 mbeleni.
Wengine hawaruhusiwi isipokuwa ccm tu kwa ubabe waoHiviiii, vyama vingine tofauti na CCM, vinaruhusiwa kufanya haya wafanyayo CCM, kuhusiana na watoto? Jana, wamewakusanya watoto mpaka zaidi ya saa tano usiku!
Na Nchi hii, inaruhusu watoto kujihusisha na siasa?
Uongozi siyo SiasaUongozi ni kipaji,
Bisha utakavyo, ila huo ndio ukweli
Wa V8 new model wanatembelea huyo mwenyekitihivi huwa kuna mishahara ?
Ila mwnasiasa mjinga anamuongoza msomi mtaalamuWatoto wangu hawawezi Kufanya mambo ya Siasa ni kuuwa vipaji vyao!
Nisamehewe kwa huko siku za nyuma kulaani vikundi vilivyoingia msituni. Nimekuja kugundua hivyo vikundi vilikuwa sahihi.Qayllah Nurdin Bilal, ambaye ni mtoto wa msanii wa Bongofleva, Shetta (Hutaniwa wamefanana na Kova), amechaguliwa kwa kishindo kuwa Mwenyekiti wa Chipukizi Taifa katika Chama cha Mapinduzi (CCM) leo Dodoma.Qayllah amepata kura 303 kati ya kura halali 429 zilizopigwa
View attachment 2848650
Isack Mwigulu Nchemba ambaye ni mtoto wa Waziri wa Fedha Dkt Mwigulu Nchemba is ametangazwa kuwa mshindi wa Ujumbe wa Baraza Kuu La UVCCM Taifa
View attachment 2848651
Halafu unakuta mtaalamu anajipendekeza vibaya kwa mwanasiasa!Ila mwnasiasa mjinga anamuongoza msomi mtaalamu
Hamuongozi bali anamtawala ndio sababu tunarudi Nyuma badala ya kwenda mbele!Ila mwnasiasa mjinga anamuongoza msomi mtaalamu
Lucas atakuwa anamuandaa mwanae kuwa chawa kama yeye
Qayllah Nurdin Bilal, ambaye ni mtoto wa msanii wa Bongofleva, Shetta (Hutaniwa wamefanana na Kova), amechaguliwa kwa kishindo kuwa Mwenyekiti wa Chipukizi Taifa katika Chama cha Mapinduzi (CCM) leo Dodoma.Qayllah amepata kura 303 kati ya kura halali 429 zilizopigwa
View attachment 2848650
Isack Mwigulu Nchemba ambaye ni mtoto wa Waziri wa Fedha Dkt Mwigulu Nchemba is ametangazwa kuwa mshindi wa Ujumbe wa Baraza Kuu La UVCCM Taifa
View attachment 2848651