Indume Yene
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 2,962
- 721
WanaChadema mtapigwa butwaa mtakapopata matokeo ya mikoa ya Pwani, Tanga, Lindi, Mtwara, Iringa, Morogoro na maeneo ya vijijini nchi nzima.
Mtapigwa ganzi, msiamini kinachotokea
Mdau kanitumia matokeo ya Makongo jeshini.
Urais
JK 326
Slaa 334
Ubunge
CCM 252
CHADEMA 361
Udiwani
CCM 314
CHADEMA 351
matokeo ya kituo changu cha uchaguzi
kura za urais:
chadema: 108+128+119+85+94 = 534
ccm: 88+70+58+80+77 = 373
kura za ubunge:
chadema: 135+134+126+99+111 = 605
ccm: 58+58+45+63+51 = 275
kura za udiwani:
chadema: 109+108+115+86+88 = 506
ccm: 80+70+54+71+68 = 343
*kituo cha sinza a (nice) ofisi ya kitongoji
Habari za kusikitisha huenda Ilalla CCM wakachukua Zungu anaongoza kwa kura nyingi!
kituo gani hicho?urais:
ccm - 27
chadema - 142
cuf - 3
ubunge:
ccm - 22
chadema - 142
cuf - 6
hawa cuf wamevuruga hali ya hewa sana
ni furaha shangwe na Ndelemo
Huko Ilala wamejaa wa Asia unategemea nini hapo? Na ndo wafadhiri wakuu wa Ugua pole
Unavyotuambia tutapigwa na butwaa unaonekana kama vile unajua mliyoyafanya!
Hata kama mtafanya mfanyavyo huu ni mwaka wa Mungu kuleta mabadiliko Tanzania na siyo wana chadema kama unavyodhani.
Nakwambia wewe na kijan yako ndiyo mtakaopigwa butwaa!
Pole sana ndugu!