Elections 2010 Matokeo ya Uchaguzi Mkoa wa Dar-es-Salaam

Elections 2010 Matokeo ya Uchaguzi Mkoa wa Dar-es-Salaam

Nimesikia kuwa REDET watakuwa na Press conference pale Karatu jengo la Halmashauri hapo kesho mchana,

Ahahahaa ahahaha I'm just kidding, ninafurahi tu jinsi ukombozi unavyofanya kazi..........
Nina hamu ya kwenda kulala but naona shida kuiacha JF hapa na habari motomoto.
 
WanaChadema mtapigwa butwaa mtakapopata matokeo ya mikoa ya Pwani, Tanga, Lindi, Mtwara, Iringa, Morogoro na maeneo ya vijijini nchi nzima.

Mtapigwa ganzi, msiamini kinachotokea

Hapo penye red, sahau sababu Slaa anaongoza huko. Hata hivyo inabidi turejee kwenye uzalendo na kuondoka kwenye ushabiki. Maana kuna wanaoshabikia CCM but there is no point to cereblate!!
 
CCM WALIFIKIRI WINGI WA MABANGO NDIO WINGI WA KUPATA KURA:smile-big::smile-big::nono::nono:
 
matokeo ya kituo changu cha uchaguzi

kura za urais:

chadema: 108+128+119+85+94 = 534
ccm: 88+70+58+80+77 = 373

kura za ubunge:

chadema: 135+134+126+99+111 = 605
ccm: 58+58+45+63+51 = 275

kura za udiwani:

chadema: 109+108+115+86+88 = 506
ccm: 80+70+54+71+68 = 343

*kituo cha sinza a (nice) ofisi ya kitongoji

good stuff ccm walifikiri wingi wa mabango yao hapa mjini ndio kupata wingi wa kura teh teh teh teh
 
tunashangilia, ingawa majimbo mengine mkoa wa mara inaonekana ccm wamechukua
 
Unavyotuambia tutapigwa na butwaa unaonekana kama vile unajua mliyoyafanya!
Hata kama mtafanya mfanyavyo huu ni mwaka wa Mungu kuleta mabadiliko Tanzania na siyo wana chadema kama unavyodhani.
Nakwambia wewe na kijan yako ndiyo mtakaopigwa butwaa!
Pole sana ndugu!

Plz care, Usije kuja kukanusha kuwa si mwaka wa mungu!
 
halima mdee is official ameshinda kawe taarifa mtapewa....


segerea na ukonga mchuano ni mkali kwenye ubunge na kura za urais ....margin ni ndogo mno.....you will be updated!!
 
Ebwana eeee upo juu kaka thanks very mucho fanya huivyo basi kwa kwingineko:yield:
 
Kawe Halima Mdee kabeba live and confirmed!!
Pipoooooooooooooooooozzzzzzzzzzz ??
 
Back
Top Bottom