Tunakokwenda ndio gizani zaidi,hivi kiukweli kuna tume HURU ya uchaguzi nchini?hivi kuna chaguzi ndani ya nchi yetu,ewe dunia simama kidogo nishuke ili nipotelee hapo Botswana,nchi huru,amani ya kweli,maendeleo ya nguvu(wanategemea almasi zaidi na kidogo utalii)idadi ndogo ya watu(hawazaani kama sisi),na matokeo ya uchaguzi mkuu yanapingwa mahakamani,(mahakama huru) watch the space!!halafu humu tuna mtu ambaye ni senior member wa JF anakuja na uzi wa tume huru ya uchaguzi!!!wakati hii tume yote imeteuliwa na mpangaji mkuu wa pale magogoni!!ambaye naye ni mgombea na mwenyekiti wa chama cha kisiasa!!tutasubiri sana nchini kwetu,karibuni huku Lingusenguse (sasawala).