johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
maendeleo yana chama ingawa haisemwi hadharaniTume huru ya Uchaguzi NEC imesema matokeo ya Uchaguzi mkuu utakaofanyika mwezi october mwaka huu yatatangazwa kutokea jijini Dodoma.
Source: Habari Leo
Maendeleo hayana vyama!
Tume huru ya Uchaguzi NEC imesema matokeo ya Uchaguzi mkuu utakaofanyika mwezi october mwaka huu yatatangazwa kutokea jijini Dodoma.
Source: Habari Leo
Maendeleo hayana vyama!
Hapo kwenye "tume huru"hilo neno "huru"ungelitoa halina mashikoTume huru ya Uchaguzi NEC imesema matokeo ya Uchaguzi mkuu utakaofanyika mwezi october mwaka huu yatatangazwa kutokea jijini Dodoma.
Source: Habari Leo
Maendeleo hayana vyama!
Tunakokwenda ndio gizani zaidi,hivi kiukweli kuna tume HURU ya uchaguzi nchini?hivi kuna chaguzi ndani ya nchi yetu,ewe dunia simama kidogo nishuke ili nipotelee hapo Botswana,nchi huru,amani ya kweli,maendeleo ya nguvu(wanategemea almasi zaidi na kidogo utalii)idadi ndogo ya watu(hawazaani kama sisi),na matokeo ya uchaguzi mkuu yanapingwa mahakamani,(mahakama huru) watch the space!!halafu humu tuna mtu ambaye ni senior member wa JF anakuja na uzi wa tume huru ya uchaguzi!!!wakati hii tume yote imeteuliwa na mpangaji mkuu wa pale magogoni!!ambaye naye ni mgombea na mwenyekiti wa chama cha kisiasa!!tutasubiri sana nchini kwetu,karibuni huku Lingusenguse (sasawala).Tume huru ya Uchaguzi NEC imesema matokeo ya Uchaguzi mkuu utakaofanyika mwezi october mwaka huu yatatangazwa kutokea jijini Dodoma.
Source: Habari Leo
Maendeleo hayana vyama!
Tume huru ya Uchaguzi NEC imesema matokeo ya Uchaguzi mkuu utakaofanyika mwezi october mwaka huu yatatangazwa kutokea jijini Dodoma.
Source: Habari Leo
Maendeleo hayana vyama!
Tunakokwenda ndio gizani zaidi,hivi kiukweli kuna tume HURU ya uchaguzi nchini?hivi kuna chaguzi ndani ya nchi yetu,ewe dunia simama kidogo nishuke ili nipotelee hapo Botswana,nchi huru,amani ya kweli,maendeleo ya nguvu(wanategemea almasi zaidi na kidogo utalii)idadi ndogo ya watu(hawazaani kama sisi),na matokeo ya uchaguzi mkuu yanapingwa mahakamani,(mahakama huru) watch the space!!halafu humu tuna mtu ambaye ni senior member wa JF anakuja na uzi wa tume huru ya uchaguzi!!!wakati hii tume yote imeteuliwa na mpangaji mkuu wa pale magogoni!!ambaye naye ni mgombea na mwenyekiti wa chama cha kisiasa!!tutasubiri sana nchini kwetu,karibuni huku Lingusenguse (sasawala).
Hata chattle poa tuTume huru ya Uchaguzi NEC imesema matokeo ya Uchaguzi mkuu utakaofanyika mwezi october mwaka huu yatatangazwa kutokea jijini Dodoma.
Source: Habari Leo
Maendeleo hayana vyama!
Hawa akina mbowe siyo watu wakuwategemeaHalafu sioni mkakati wowote wa akina Mbowe kugomea uchaguzi !!
Hata mimi nimeiona hiyo imeshakuwa huru ndani ya mfuko wa bwana yule.Mmmmmm!!
Tume ya kijinga sana inachosimamia ni ugali tu usikosekane mezani
Tume huru ya Uchaguzi NEC imesema matokeo ya Uchaguzi mkuu utakaofanyika mwezi october mwaka huu yatatangazwa kutokea jijini Dodoma.
Source: Habari Leo
Maendeleo hayana vyama!
Hawezi gomea uchaguzi mkuu, hapo ndio huwa anatengeneza fedha, kumbuka 2015 alibadilisha gia angani akapiga kwa bilioni mbili.Halafu sioni mkakati wowote wa akina Mbowe kugomea uchaguzi !!
Tume ya uchaguzi na Siyo Tume huru ya Uchaguzi usipotoshe watu tangu lini kumekuwa na tume huru ya uchaguzi? Inayotambulika ni Tume ya uchaguzi chief. (NEC). Hiyo ya kwako sijui umeitoa wapi.Tume huru ya Uchaguzi NEC imesema matokeo ya Uchaguzi mkuu utakaofanyika mwezi october mwaka huu yatatangazwa kutokea jijini Dodoma.
Source: Habari Leo
Maendeleo hayana vyama!
Kuna siku I nakuja CCM lazima watafanya kosa ambalo litawamaliza wao wenyewe. Empires zote zilizoexist huko nyuma kuanzia Roma hazikuanguka kwa kuwa walipenda. Kwa arrogance waliyonayo CCM inaonyesha kuwa mwisho wao uko karibu kuliko tunavyofikiria. It's just a matter of time.Halafu sioni mkakati wowote wa akina Mbowe kugomea uchaguzi !!