King klax JF-Expert Member Joined Jul 10, 2015 Posts 4,307 Reaction score 2,754 Jan 10, 2020 #21 Sawa ila mfanye kwa haki bila upendeleo Sent using Jamii Forums mobile app
M MABAKULI JF-Expert Member Joined Oct 4, 2015 Posts 1,754 Reaction score 1,645 Jan 10, 2020 #22 We we yohannambatizaji kweli una uhakika hiyo ni Tume huru? Kwa akili hii ungekuwa bado unakaa huko iringa kwa wahehe wenzako najua lazima wangekuwa wamekubadilisha jina na kukuita ;- JONI MCHATOZISHAJI na sio yohannambatizaji tena
We we yohannambatizaji kweli una uhakika hiyo ni Tume huru? Kwa akili hii ungekuwa bado unakaa huko iringa kwa wahehe wenzako najua lazima wangekuwa wamekubadilisha jina na kukuita ;- JONI MCHATOZISHAJI na sio yohannambatizaji tena
W wazunguwawili JF-Expert Member Joined May 29, 2019 Posts 3,984 Reaction score 4,132 Jan 10, 2020 #23 Naona mabeberu wamepigwa chenga ya mwili. Lakin amekosea kuyaweka haya mapema. Sent using Jamii Forums mobile app
Naona mabeberu wamepigwa chenga ya mwili. Lakin amekosea kuyaweka haya mapema. Sent using Jamii Forums mobile app
Bossless JF-Expert Member Joined Oct 27, 2017 Posts 1,381 Reaction score 2,948 Jan 10, 2020 #24 emalau said: Halafu sioni mkakati wowote wa akina Mbowe kugomea uchaguzi !! Click to expand... Kwenye maslahi binafsi hakuna mgomo mzee Sent using Jamii Forums mobile app
emalau said: Halafu sioni mkakati wowote wa akina Mbowe kugomea uchaguzi !! Click to expand... Kwenye maslahi binafsi hakuna mgomo mzee Sent using Jamii Forums mobile app
J jabulani JF-Expert Member Joined Aug 1, 2015 Posts 5,547 Reaction score 11,704 Jan 10, 2020 #25 Hataki kuwa Dar pale Lissu atakapouamuru umma upinge matokeo haramu.
Bantugbro JF-Expert Member Joined Feb 22, 2009 Posts 4,473 Reaction score 4,252 Jan 11, 2020 #26 Mkuu, Ni kosa kutangaza matokeo kabla ya kuthibitishwa na tume. Mshana Jr said: Popote kambi matokeo tayari yanajulikana Jr[emoji769] Click to expand... Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu, Ni kosa kutangaza matokeo kabla ya kuthibitishwa na tume. Mshana Jr said: Popote kambi matokeo tayari yanajulikana Jr[emoji769] Click to expand... Sent using Jamii Forums mobile app