LGE2024 Matokeo ya uchaguzi - Wapinzani wameshinda wapi?

LGE2024 Matokeo ya uchaguzi - Wapinzani wameshinda wapi?

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

sem2708

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2010
Posts
5,414
Reaction score
4,534
Naona kimya kingi. Sijaona hata sehemu moja wapinzani wameshinda. Naomba mwenye matokeo please...

Hapo ulipo wewe chama gani kimeshinda?
 
Kituo x wakiojiandikisha hawazidi 100 ila mwenyekiti kashinda kwa kura 2000 😹
 
Mchengerwa ana kifua kipana.
Screenshot_20241128_104726_WhatsApp.jpg
 
Back
Top Bottom