Mhafidhina07
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 3,340
- 4,659
Hakuna ubishi kuwa trending ya matokeo ya hivi karibuni inaonesha CCM inashinda kwa kishindo kikubwa,kwa mwenendo huu inawezekana kwenye uchaguzi mkuu wa mwakani hali ikaendelea hivi hivi lakini kuna athari kubwa ya matokeo yanayotengenezwa.
Hata kama upinzani umeanguka sio kwa kasi hii..kinachotafutwa kitapatikana miaka michache ijayo.
Hata kama upinzani umeanguka sio kwa kasi hii..kinachotafutwa kitapatikana miaka michache ijayo.