Uchaguzi 2020 Matokeo ya uchaguzi yatawashangaza wengi

Awamu hii inaweza kuwashangaza watu wengi,

Mnaweza mkaona watu wanafurika kwenye mikutano ya CCM, ila hakika mtashangaa na kubaki midomo wazi pale kula zitakapo anza kuhesabiwa, na matokeo kutoka...
Haitakaa itokee hiyo hakuna wa kumpitisha tobolisu iwe jua Iwe mvua nakuambia haitatokea labda tu chadema wachukue majimbo 70%ya ubunge lakini kama sabini hayo yaende ccm alafu kura za rais mushinde haitakaa itokee,

awezi kupita katambi alafu kura za urais apate tobolisu haiwezekani kwenye ilo musahau narudia tena labda mupate majimbo mengi kuzidi ccm.
 
Kusema kweli kafanya mambo makubwa mengi...kuteka, kuuwa akina Ben Saanane, kubambikia watu makesi, kupora wafanyabiashara kupitia Bashite, kukandamiza wapinzani hasa CHADEMA nk nk haya ni mengi..sio haba.
 
Hali ni ngumu sana mitaani
 
Kafanya mengi halafu maisha magumu tena??
 
Haile Rastaman, tutalichukulia kwa umakini angalizo lako
Awamu hii inaweza kuwashangaza watu wengi,

Mnaweza mkaona watu wanafurika kwenye mikutano ya CCM, ila hakika mtashangaa na kubaki midomo wazi pale kula zitakapo anza kuhesabiwa, na matokeo kutoka..
 
Umeongea pointi kamanda, Matokeo yatawashangaza wengi kweli kweli, Wapiga kura si hawa wanaobebwa na malori kujazaviwanja, wengi wao wanaenda tu kwa sababu wanalazimika kufanya hivyo maana hawana chaguo jingine, Lakini kwenye chumba cha kupiga kura wanajua wanaenda kufanya mageuzi.
 
Awamu hii inaweza kuwashangaza watu wengi,

Mnaweza mkaona watu wanafurika kwenye mikutano ya CCM, ila hakika mtashangaa na kubaki midomo wazi pale kula zitakapo anza kuhesabiwa, na matokeo kutoka...
Tumia akili ndogo tu kujifikirisha kama uliyoandika yana ukweli na mtaji wa kumnyima Magufuli kura.

CCM ina wanachama zaidi milioni 12. Kwa jinsi Lissu anavyomkebehi M/Kiti wao nidhahiri anajijengea chuki. Wachache ambao wangepiga kura za chuki dhidi ya Magufuli kufuatia baadhi ya wagombea kukatwa wakati wameongoza kwenye kura za maoni, hawatafanya hivyo.

Je, kuna chama cha siasa chenye wanachama idadi hiyo?

Je, kura za WaTz wasio na vyama, ambao hawapendezwi na kebehi za Lissu dhidi ya Magufuli?

Vipi wanachama wa vyama vingine vya siasa waliogushwa na maendeleo ya vitu katika maeneo yao km
√ huduma za afya;
√ shule bure;
√ maji;
√ barabara zinazopitika majira yote;
√ machinga na mamanitilie waliopewa vitambulisho kufanya biashara bila bughuza (20000/- ÷ siku 365 = 60/- kwa siku);
√ wachimba wadogo wa madini kupewa fursa ya kuchimba bila bughuza;
√ wakulima kusafirisha mazao yao bila bughuza, nk.
 
Fanya tafiti kwa watu .
 
Pale wapiga propaganda wa awamu hii mnapoogopa wapiga kura! Yaani hadi tarehe 27 October mtakuwa mmeshaita maji mma.

Na watu wengi walivyoumizwa na huu utawala wanasubiri kuichinja ccm Oct 28!
 
Hivi sialiwahi kusema yeye alikuwa hataki wakamsukumiza, sasa imekuwaje kanogewa na madaraka mpaka kung'ang'ania Ikulu?? Na zaidi ya yote katiba anataka kuibadilisha kabisa kwa kumtumia subwoofer atawale milele. Uroho wa madaraka mbaya sana..
 
Hawa jamaa huwa wana mbinu nyingi sana. Huwa wana mabox ya kura m'badala ya yale ya kura halisi. Cha msingi, inabidi mawakala wawe macho sana muda wote wawapo vituoni, kuna namna mabox ya kura zilizopigwa hubadilishwa kinamna muda mfupi kabla ya kuanza kuhesabu kura.
 
Hivi sialiwahi kusema yeye alikuwa hataki wakamsukumiza, sasa imekuwaje kanogewa na madaraka mpaka kung'ang'ania Ikulu?? Na zaidi ya yote katiba anataka kuibadilisha kabisa kwa kumtumia subwoofer atawale milele. Uroho wa madaraka mbaya sana..

propaganda. propaganda, propaganda. Tunajilazimisha kwa kug'ang'ania tuamini kitu ambacho hakipo kwa muda huu.
 
Leo umeongea huku akili za kibuku saba ukiwa umeziweka pembeni. Siku zote tunataka muwe mnajadili hoja na sio kuimba mapambio
 
Awamu hii inaweza kuwashangaza watu wengi,

Mnaweza mkaona watu wanafurika kwenye mikutano ya CCM, ila hakika mtashangaa na kubaki midomo wazi pale kula zitakapo anza kuhesabiwa, na matokeo kutoka..
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ Sasa tuaipoipigia CCM tukipigie chama kipi cha siasa, Acha utani
 
Awamu hii inaweza kuwashangaza watu wengi,

Mnaweza mkaona watu wanafurika kwenye mikutano ya CCM, ila hakika mtashangaa na kubaki midomo wazi pale kula zitakapo anza kuhesabiwa, na matokeo kutoka...
Endele Kujitekenyaaa Halafu ucheke Mwenyewe 86% Atashinda Magu Zingine wagawie Wenye Vyama vya mashabiki na sio wanachama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…